Je, Automatic voltage regulator, ni inverter au la?

Mimi naomba kunisaidia naweza kupata wapi stabilizer ya 100-240v watt 500 au 1000?
 
Mimi naomba kunisaidia naweza kupata wapi stabilizer ya 100-240v watt 500 au 1000?
stabilizer haiwi rated in watts, bali ni VA,
cheki model ya Pacco, naona ndiyo wana za 'input range' tofauti tofauti

vyema ukaenda dukani moja kwa moja
kkoo mtaa wa uhuru na sikukuu au uhuru na nyamwezi huwezikosa
 
Mkuu resistor huwa ni Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…