Kijana matata
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 603
- 307
Hii shule ime trendi sana humu jfSHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba wasiliana na hiyo namba utapewa maelezo ya kinaHii shule ime trendi sana humu jf
Je naweza pata kuiona kwa picha??? Matokeo yake yapoje, hakuna ACSEE Kwa nini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tufafanulie mkuiPrivate school unapata, kwa CBG. Kwa comb nyingine pia anaweza kusoma kwa kutumia mfumo wa special need programs....nichek pm, nikuelekeze vizuri ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nicheki 0785907371Wakuu kuna dogo mmoja kahitimu 2013 ana four ya 32 katika performance zifuatazo
Chemistry_C
Kiswahili_C
English_C
Biology_D
Physics_D
Marthe_E
Geography_E
Civics_D
Je anaweza kwenda advance private?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ninaomba msaada kama kuna uwezekano wa kupata waraka mpya wa serikali juu ya sifa za kujiunga na f5Uwezekano wa kuchaguliwa advance kwa gvt ni ngumu bcoz history ana D ko combination haija barance...pia private nao saiz wanataka uwe na C tatu ktk combination
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo HKL anaweza kupangiwa lakini kuwa na plan B usisubirie second selectionMm mdogo wangu kapata division 2 ya 21 na hajachaguliwa kwenda kidato Cha tano ,,,,. Amepata. History _c, chemistry_c, Geo_d,kisw_c,math_c, English_c, literature in English_c,civ_c, physics_F, Biology_c,. Je anauwezekano wa kapangiwa second selection katika comb zipi,msaada tafadhali
Khaaah haya matokeo mbona yako vizuri kabisaaa, why hajachaguliwa? Mmmmmh subiri 2nd selection huku ukifanya mchakato wa plan B.Mm mdogo wangu kapata division 2 ya 21 na hajachaguliwa kwenda kidato Cha tano ,,,,. Amepata. History _c, chemistry_c, Geo_d,kisw_c,math_c, English_c, literature in English_c,civ_c, physics_F, Biology_c,. Je anauwezekano wa kapangiwa second selection katika comb zipi,msaada tafadhali