Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,714
- 21,625
Ukishapata History, Physics, Chemistry alama D jua kwenda advance ni majaaliwa sanaCheck mchango namba 13 kumewekwa vigezo. Visome kwa umakini- angalau C tatu zinatakiwa katika masomo 7, kwenye combi kinachotakiwa ni point kati ya 3 (AAA) na 10 (CCD). Na jumla usizidi point 25. Zaidi ya hapo ni majaliwa ya uwepo wa nafasi (competition).