advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 259
- 90
Ataenda H.G.L H.G.K Au H K L23 III CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F
Ataenda H.G.L H.G.K Au H K L23 III CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F
.
Labda comb ya arts kwa bahati sana23 III CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F
Duh.mi nilikwenda advance credit 4 sina hata b moja ,c flat kwenye comb.PCM minaki lakini almost miaka 15 iliyopita.Kila mwaka wanatoa miongozo kw kuangalia ufaulu, mimi ni mwalimu pia kijana wangu hakuchaguliwa cbg kwa kuwa kwa kuwa hakuwa na b hata moja kwenye comb, alikuwa na 21
Sent using Jamii Forums mobile app
Combination mpya eee!
Huyu anaweza kwenda H(D), K (C), L (C)-HKL na CBG. Bora 7 ana 23, ana C5 (zinatakiwa zisipungue 3) kwenye combi ana point 10 anatakiwa awe na kuanzia 3-10. Labda aachwe kwa ushindani. Bandiko la Retired (hapa chini) ndio la kufuatwa kwani hakuna mwongozo mpya hadi sasa.23 III CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F
cheki kama zinatumika kwa sas au wameshabadili. lakini at least unapata mwanga!
View attachment 1004183
Tahasusi imekubali mkuu, soma bandiko #7 kwa umakini.KWA KUPATA NAFASI SHULE YA SERIKALI NI NGUM,U KWANI TAHASUSI HAIJAKUBALI ILA ANNA NAFASI YA KUJIUNGA NA SHULE BINAFSI NA KUENDELEA NAMASOMO YAKIDATO CHA TANO KATIKA TAHASUSI ZA HGK AU HGL
Sijasikia wala kuona kwamba lazima uwe na B. Muongozo wa sasa umewekwa mchango #7 unajieleza wenyewe. Labda mwanao amekosa kwa sababu ya ushindani au kitu kingine lakini kukosa B si sababu Ndugu Mwalimu.Kila mwaka wanatoa miongozo kw kuangalia ufaulu, mimi ni mwalimu pia kijana wangu hakuchaguliwa cbg kwa kuwa kwa kuwa hakuwa na b hata moja kwenye comb, alikuwa na 21
Sent using Jamii Forums mobile app
PoaSijasikia wala kuona kwamba lazima uwe na B. Muongozo wa sasa umewekwa mchango #7 unajieleza wenyewe. Labda mwanao amekosa kwa sababu ya ushindani au kitu kingine lakini kukosa B si sababu Ndugu Mwalimu.
Mkuu si ana F ya math CBG anaweza kwenda kuna watu wanasema F ya namba ht kama umebalance vzr huwezi kuchaguliwa kombi za sayansi ukiwa na F ya mathHuyu anaweza kwenda H(D), K (C), L (C)-HKL na CBG. Bora 7 ana 23, ana C5 (zinatakiwa zisipungue 3) kwenye combi ana point 10 anatakiwa awe na kuanzia 3-10. Labda aachwe kwa ushindani. Bandiko la Retired (hapa chini) ndio la kufuatwa kwani hakuna mwongozo mpya hadi sasa.
Mimi hupenda kwenda na maandishi rasmi, watu tunasema mengi. Kama hesabu ni lazima kwenye kigezo basi wahusika wangeweka. Naelewa kwa nini wanasema hivyo lakini ufaulu wa hesabu sio kigezo.Mkuu si ana F ya math CBG anaweza kwenda kuna watu wanasema F ya namba ht kama umebalance vzr huwezi kuchaguliwa kombi za sayansi ukiwa na F ya math
Kwel Mkuu Humu Jf U-much Know Mwingi SanaAcheni kumdanganya mwenzenu, hapo hamna combination iliyobalance, sio arts wala science.
Best option hapo aende diploma tuu.
Kama huamini mwongozo wa serikali sijui utaamini kipi mkuu? Combi kubalance ina maana gani zaidi ya ile iliyoko kwenye mwongozo?Acheni kumdanganya mwenzenu, hapo hamna combination iliyobalance, sio arts wala science.
Best option hapo aende diploma tuu.
Kama huamini mwongozo wa serikali sijui utaamini kipi mkuu? Combi kubalance ina maana gani zaidi ya ile iliyoko kwenye mwongozo?
Check mchango namba 13 kumewekwa vigezo. Visome kwa umakini- angalau C tatu zinatakiwa katika masomo 7, kwenye combi kinachotakiwa ni point kati ya 3 (AAA) na 10 (CCD). Na jumla usizidi point 25. Zaidi ya hapo ni majaliwa ya uwepo wa nafasi (competition).Mwongozo upi?
Comb km huna C Tatu basi jua haijabalance