KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Avataer yako inaweza leta matatizo,yaani inaonekana ya kike,sasa sijui wewe ni SHE au HE?.Habari wakuu,
Nahitaji msaada wakuu kuna sister nilkuwa nimezoeana nae kama dada yangu ila kwa sasa moyo wangu umempenda yeye na ninahitaji kuanzisha mahusiano nae ili tuweze fika katika malengo mengi
Sasa kilichonileta hapa nashindwa mara nyingi kumwambia ukweli kwa kuwa amekuwa akinichukulia rafiki wa kawaida tu.