Je, atakuwa ananipenda?

sasa kama HANIPENDI..kinachomfanya alalamike eti namchunia siku izi anamaana gani sasa?
Kumchunia kwnye mawasiliano coz labda ulikua mnawasiliana kabla hujamtongoza ndo mana anasema unamchunia. Ila Piga chini utapoteza mda tu
 
hana element za kukupenda ila anaelement za urafiki tena wa hadi ww umtafte, labda uwe unamrecharge ndo nayeye atakua anakutafta japo lengo lako n kupata pochi manyoya. Piga chini
 
Achana nae, wako wengi sana wanawake hao.. Huyo hakupend hata kdg
 
tukiwa tunaongea face to face interest zinaonekana kwa 80%..kwa ananipenda..maana hata nikiwa wapi anifata mwenyw na kuniomba kampani ya lunch au break fast ,,mpaka apo nakuwa sielewi apo kama ananipenda au la
Kampani ya lunch na bfast ili ukalipie siyo kwamba anakupenda anakufuata akijua utalipa wewe.
Hakupendi ndugu acha kujipa moyo tafuta anayekupenda
 
amekuweka wa Akiba kuwa akiachika tu huko kwingine upendo utahamia kwako so subili tu
 
Kampani ya lunch na bfast ili ukalipie siyo kwamba anakupenda anakufuata akijua utalipa wewe.
Hakupendi ndugu acha kujipa moyo tafuta anayekupenda
mweche alipe kwanza baadae akili itamkaa sawa . cha mjinga huliwa na mwelevu
 
Una muda gan katika hii duru ndugu
 
mtu anaekupenda hawez kukufanya ujiulize hilo swali, anapenda attention unayompa
 
mweche alipe kwanza baadae akili itamkaa sawa . cha mjinga huliwa na mwelevu
mbona wakati mwingine yeye ndo analipa...nikitaka kulipa anasema acha tu mi leo nikulipie namimi
 
hana element za kukupenda ila anaelement za urafiki tena wa hadi ww umtafte, labda uwe unamrecharge ndo nayeye atakua anakutafta japo lengo lako n kupata pochi manyoya. Piga chini
yawezekana kweli...lakini huwa ananiambia kuwa pale anapokuwa hajajibu sms au calls zangu anakuwa yuko bize na kazi za hapo nyumbani coz anatoka kazini amechoka...anasema nosimfikilie vibaya
 
mweche alipe kwanza baadae akili itamkaa sawa . cha mjinga huliwa na mwelevu
mbona anajua tu kuwa sina hela nyingi...coz nishamwambia kuwa bado nasoma...☞☞☞SASA ATANICHUNA VIPI NDIGU
 
shobo anazo tukionana live...maana kuna wakati ananiita ofisini kwake tuzungumze
Mkiwa mubashara anakosa ujasiri wa kukwambia kuwa hakupendi. Ila ni kwamba hakupendi, tafuta usitaarabu mwingine. Au unasubiri aachike umdake?
 
Sasa mbona unalazimisha jibu sheikh? Umeuliza swali unajibiwa hutaki unalazimisha kuambiwa anakupenda.

Haya anakupenda sana, Tena sana. Huoni Huwa anakuita kampani Saa ya lunch na breakfast tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…