hizo ni mbovu zote jaza tu utapataWapendwa hivi social sciences nazo competition ni kali sana vyuo kama udom?
naomba kuuliza je d ni credit kwa form dour??
no D ni PASS sio creditnaomba kuuliza je d ni credit kwa form dour??
wacha kutudanganya kuwa eckneford kinachukua division one..wakati hicho chuo kipo tanga na kilivoanza kilikuwa kinachukua maksi za chini mnoooHii kweli balaaaa.
Angalia hapo ECKERN FORD UNIVRST nackiaga inachukuaga division one tupu.
![]()
![]()
![]()
![]()
Mwaka huu kitakuwa na compttn balaaaa.
Maaana waliokosa frst wote wameanza na ECKERNFORD na AJUCO
wacha kutudanganya kuwa eckneford kinachukua division one..wakati hicho chuo kipo tanga na kilivoanza kilikuwa kinachukua maksi za chini mnooo
hii second round unatakiwa kuwa very wise! kwani inazingua sana,na inaonyesha watu watapigwa chini tena, kwa mfano ukimaliza kuapply hiyo second selection logout na kisha login utaniambia pfofile inasomekaje kama huja lia uwiiiiiiiiiiiii!no D ni PASS sio credit
Mkuu asante sana jamiiforums inahitaji watu kama weweDegree ni degree tu, usisikie la kuambiwa mpaka uone mwenyewe, hata vyuo visivyo na majina huwa vina wakali wao wenye nondo sawa na vyuo vingine hivyo huenda ukawa wewe. Hata hivyo ambavyo ni vizur pia huwa vina wachache ambao sio competent enough pia unaweza ukawa wewe. Kikubwa ni ukipata chuo so long TCU wamekipitisha unachotakiwa ni kukomaa na kama ni assignment unafanya mwenyewe na matunda utayaona
Kwan inatakiwa isomeke vp?hii second round unatakiwa kuwa very wise! kwani inazingua sana,na inaonyesha watu watapigwa chini tena, kwa mfano ukimaliza kuapply hiyo second selection logout na kisha login utaniambia pfofile inasomekaje kama huja lia uwiiiiiiiiiiiii!
niambie kwanza kama umefanya sec.round,ukalogout na umelogin ukienda kwenye program selection inasomekaje,ndo urudi hapa kama bado hujapata jibuKwan inatakiwa isomekaje?
ok. now wait for second selection which is expected to run soonSelected programmes for second round....
jaman wanabodi eti hiv inamaanisha nini jaman tusaidiane
We sema tuu siyo kizur utashangaa unaenda St joseph ya Arusha.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hahahahaa kwa nlivyochoka hata wakinipeleka msumbiji ntaenda
yan sio ww tu nmechagua chuo ata sikijui kipo mkoa gan wala wilaya.Mkuu hongera hapo lazima uchaguliwe tena St. John dodomaJe wakuu kuna uwezakaono wa kukosa chuo second round katika hivi vyuo nilivyochagua 1.st.john 2.Kampala 3.teofilo kisanji 4.st.john 5.eckernfode tanga two ya 12 yaani DCE HKL bachelor of arts with education
Sawa mkuuMkuu hongera hapo lazima uchaguliwe tena St. John dodoma
daah chenga sana![]()
![]()
![]()
yan sio ww tu nmechagua chuo ata sikijui kipo mkoa gan wala wilaya.
Yan tulipofikia bora liende a.k.a popote kamb
Naona Leo umeamua kujibu watu vizurii...Mkuu hongera hapo lazima uchaguliwe tena St. John dodoma