hahahaaha we upo???kaka makaveliy huwezi kukosa hapo koz remaining capacity ipo ya kutosha tu
hatari kktuamini first selection haikukamilika so second inaweza kuwa fresh tu tusijali vyuo vipo ingawa kwa kozi za afya kazi ipoo
aaah udsm naona full tuJamani mwenye kufahamu udism kuna koz yyte iko empty
Degree ni degree tu, usisikie la kuambiwa mpaka uone mwenyewe, hata vyuo visivyo na majina huwa vina wakali wao wenye nondo sawa na vyuo vingine hivyo huenda ukawa wewe. Hata hivyo ambavyo ni vizur pia huwa vina wachache ambao sio competent enough pia unaweza ukawa wewe. Kikubwa ni ukipata chuo so long TCU wamekipitisha unachotakiwa ni kukomaa na kama ni assignment unafanya mwenyewe na matunda utayaonakuna dadaangu kasoma pale anasema chuo si kizuri kwa kweli na inaweza kuwa sababu ya wengi kuto kukichagua
ahsante kk Jf inahitaj watu kama ww..... ahsante kwa kunipa hasira ya kupambanaDegree ni degree tu, usisikie la kuambiwa mpaka uone mwenyewe, hata vyuo visivyo na majina huwa vina wakali wao wenye nondo sawa na vyuo vingine hivyo huenda ukawa wewe. Hata hivyo ambavyo ni vizur pia huwa vina wachache ambao sio competent enough pia unaweza ukawa wewe. Kikubwa ni ukipata chuo so long TCU wamekipitisha unachotakiwa ni kukomaa na kama ni assignment unafanya mwenyewe na matunda utayaona
Pambana dogo huku uraiani tunaangalia unajua nini na si umesoma nini, ukiji-brand vizuri hata kama umesoma cookery utapata sokoahsante kk Jf inahitaj watu kama ww..... ahsante kwa kunipa hasira ya kupambana
ni kwelPambana dogo huku uraiani tunaangalia unajua nini na si umesoma nini, ukiji-brand vizuri hata kama umesoma cookery utapata soko
Omba chuo chochote mkuu then baada ya tcu kumaliza mchakato huwa wanatoa muda kufanya transfer kwenda chuo chengine ilimrad tu uwe ulipata chuo awali na chuo unachotaka kwenda na course husika iwe na nafasi couz kuna watu pamoja na kuchaguliwa huwa hawalipoti vyuoni kwa sababu zao binafsi xo hiyo nayo hutumika kama chance ya kuhama chuoahsante kk Jf inahitaj watu kama ww..... ahsante kwa kunipa hasira ya kupambana
Mkuu umeona mbali mnoKwa Ushauri Tu MZUMBE NA UDOM iondoshe Katika Machaguo Kwani COMPETITION ni Kubwa Kwa Waliokosa 1st Round! Na Jaza Vyuo Vengine!
Nimekupa Ushauri Huu Kwasababu Sipendi Kukuona Unakuja Tena Kutafuta Ushauri Wa chuo cha DIPLOMA
ahsante sana kk nmekupataOmba chuo chochote mkuu then baada ya tcu kumaliza mchakato huwa wanatoa muda kufanya transfer kwenda chuo chengine ilimrad tu uwe ulipata chuo awali na chuo unachotaka kwenda na course husika iwe na nafasi couz kuna watu pamoja na kuchaguliwa huwa hawalipoti vyuoni kwa sababu zao binafsi xo hiyo nayo hutumika kama chance ya kuhama chuo
View attachment 399799hapo kweli wakuu nitapata second round nina two ya 12
nimetemwa kakahahahaaha we upo???
pole tupo wengi hahaaaanimetemwa kaka