Je, asili ya majini ni ipi?

 

Wewe ndiyo huna unalojua , Nani kakuambia Biblia ni kitabu ? tafuta maana ya Biblia ndiyo uje hapa .
Halafu Issa siyo Yesu ,kama unajua Issa ni Yesu umepotea.

Unaweza kunipa maana ya Injili? unaweza kunieleza Zaburi ni nini?
wewe sikiliza tu Majini na kuswali na Majini unaenda Motoni
 
asili ya majini ni uarabuni huko
 
Ninachokiona hapa n kwamba wote angalau tunatambua uwepo wa majini kwa maelezo yako mkuu ni kwamba binadamu na majini tunafanana kila kitu isipokua katika uumbwaji my point ni kwmba kwa kua majini yaliumbwa kabla yetu inawezekana kua yana upeo mkuvwa mkubwa wa kufikir kuliko sisi (mtazamo tu lkn) ,inawezekana pia wametupita mbali kimaendeleo na hasa teknolojia (maybe wanatuchora tu tunavobishana hapa) kwa nn bas hata jini moja lisije hapa jeiefu kutupa japo ukweli kidogo tu ili hzi kashfa wanazotupiana waislam na wakristo zkome. Aje (huyo jini) atuambie wao ni kina nan waliumbwa na nan kwa malengo gan na wanapaswa kua na mahusiano ya aina gan na wanadamu
 
Sasa hapo tatizo,kwa sababu kwa mujibu wa wakristo Mungu hajaumba kiumbe kinachoitwa jini bali Mungu aliumba malaika na ndiyo hao majini.

Sasa hapo kwenye kujitokeza jini tutawezaje kujua kuwa huyu ni jini na sio malaika?
 
Isa sio Yesu ila majini ndio malaika waliyoasi, hapa huwa sipaelewi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…