kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,301
- 6,117
Get your facts rightHello bosses and roses, it has been a while...
Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota TImberwolves...
Celtic vs Dallas ? Dallas vs Wolves?Ofcoz, wolves kiukweli wapo compact, wamejitosheleza. Hata ukichek stats za Ant kwenye game ya jana zilikua ni average kwa ile team, alifunga point 16 out of total 96 points.
Ila sasa Ant anapata spotlight sababu ana uwezo extraordinary na focus ya ajabu na pia contribution yake ni kubwa sana hasa sabb ni complete package, Anaweza cheza defense na offense. Anascore, anaguard, ana-assist, anashoot 3s, yaan ni fujo. Ukitaka kuona umuhimu wake cheki mchezo wa wolves jamaa akiwa bench
KAT nae ni habari nyingine, Joker (Jokic) ana habari zake
By the way, Celtics kwa Dallas hachomoi, niko pale.
Fainali ni dallas vs wolves, na hapo ndo itakua ngumu kujua nani atashinda.
Unamuachaje McDaniels hapa ? Games mbili za mwisho kafunga 20+ i think. Hata game 7 wakati focus iko kwa Ant Man yeye ndio aliwaumiza Nuggets.Minesotta Timberwolves isingeweza fungwa na Watu wanaosapot, wazee wa rangi nyingi, Watu wa hisani za Marekani😁 ...But kwanza Minesotta Timberwolves sio timu inayobebwa na mtu mmoja..timu nzima iko compact sana..Tuanzie Defensively kuna Mfaransa Rudy Gobert na KAT ni Noma,Offensively pia ni hatari, Antman,KAT,Conley ni habari nyingine..Wote wanatimiza majukumu yao kikamilifu..Point guard anavusha ball kwelikweli unaona transition hii apa,Wanaweka pick, wanashoot 3pts, wana'pass yaani wametimia...Nikija kwa Antman ni Habari nyingine nakubaliana nawewe ni combo ya Kobe na MJ,Jamaa ana energy kinoma na atafika mbali sana..ila Akikutana nasisi Celtics☘️Tunamnyoa mapema mno game4.
Nikiiangalia Celtics sioni ni nini kinafanya watu waipe nafasi.I put my money on Boston all day...
Finals is between the Wolves vs Celtics
Celtics win at game 5 (118-109)
Kwa vile kamtoa defending champion?Nikiiangalia Celtics sioni ni nini kinafanya watu waipe nafasi.
Kwangu siku nyingi niliona bingwa ni mshindi kati ya wolves na nuggets....so ni wolves
East hakuna timu ngumu sana kulinganisha n West. Wolves wana defence kali na offense ya uhakika.Kwa vile kamtoa defending champion?
Nikiangalia games walizoshinda celtics kwenye play offs nyingi zinaishia game 5
Lakini kumbuka tunaiongelea celtics,mabingwa wa mara 17...East hakuna timu ngumu sana kulinganisha n West. Wolves wana defence kali na offense ya uhakika.
And between western and eastern conferenceEast hakuna timu ngumu sana kulinganisha n West. Wolves wana defence kali na offense ya uhakika.
History. Currently West wako vizuriAnd between western and eastern conference
East wana most nba championships kuliko western
Ubingwa wa mwisho Celtics ni akina Paul Pierce I think 2008. Hizo nyingine history enzi za akina Larry Bird. Ni kama useme Bulls wako vizuri now kisa 6 rings za akina Jordan.Lakini kumbuka tunaiongelea celtics,mabingwa wa mara 17...
Upo sahihiHistory. Currently West wako vizuri
You still banking on history of different Eras and different basketball games.Upo sahihi
Lakini kama Kevin Garnet alishindwa kuipa wolves championship msimu wa 2003/2004 sioni Edwards akitoboa
Ngoja nilale kidogo baadae niamke kuwashangilia Pacers.Upo sahihi
Lakini kama Kevin Garnet alishindwa kuipa wolves championship msimu wa 2003/2004 sioni Edwards akitoboa
Ubingwa wa mwisho Celtics ni akina Paul Pierce I think 2008. Hizo nyingine history enzi za akina Larry Bird. Ni kama useme Bulls wako vizuri now kisa 6 rings za akina Jordan.na
Angalia record ya celtics past ten years kwenye play offs linganisha na wolvesUbingwa wa mwisho Celtics ni akina Paul Pierce I think 2008. Hizo nyingine history enzi za akina Larry Bird. Ni kama useme Bulls wako vizuri now kisa 6 rings za akina Jordan.
Pacers humiliated knicks mbele ya my ni66a Spike LeeNgoja nilale kidogo baadae niamke kuwashangilia Pacers.
Hakika kubwa mjomba angu..SikupingiUnamuachaje McDaniels hapa ? Games mbili za mwisho kafunga 20+ i think. Hata game 7 wakati focus iko kwa Ant Man yeye ndio aliwaumiza Nuggets.
Ngoja nilale kidogo baadae niamke kuwashangilia Pacers