Je angekua dr. Slaa katika hali hii ingekuaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je angekua dr. Slaa katika hali hii ingekuaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by cray, Feb 7, 2011.

 1. c

  cray Senior Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Je, wana JF kwa kuilinganisha picha hii, kama Dr. Slaa angekua Rais wa JMT, afu katika pitapita yako ukakutana na mazingira kama haya ila tofauti hao wapambe wawe wamevaa kiaskofu na kichungaji. Unafikiri ingeleta (impact) changamoto gani kwa jamii?
   
 2. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Crap
   
 3. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,959
  Likes Received: 20,296
  Trophy Points: 280
  Kesho yake ungeshangaa kichwa cha habari katika DN na HL ' Udini wa dr. Slaa saa wazi' huku Mtanzania wakiandika "japo nilishindwa, nawashukuru kwa kunisaidia"

  hakuna ubishi kuwa suala la udini na dini linakuzwa na CCM na JMK mwenyewe anatumia suala hili kukimbia masuala makubwa ya msingi kama ajira bei ya vyakula kuwa juu n kwa ukondoo wa wengi wetu tunachukua rasari na tasibihi tunatembea kwa uoga wa FFU
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  naona kakutana nao kuwashukuru kwa kazi nzuri ya kueneza udini aliyowatuma,...namuona sheikh mkuu wa dar hapo.,huyo jamaa ni mtetezi mkubwa wa ufisadi.....yani hawa jamaa ni ndugu zetu lakini dresscode yao imekaa kikarne ya 6 baada ya mohamad
   
 5. I

  Ipole JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Eleza ueleweke mimi hapo sijaona tatizo likowapi kuhudhuvia huo msiba ndiyo udini au vitu gani
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kwa ccm huo ndo udini! TATIZO LA UDINI LIPO NDANI YA CCM TUUU!
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kamati ya ufundi
   
 8. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acheni kuanzisha thread zenye udini ndani yake. Hii siyo nzuri, leteni vitu vyenye maendeleo kwa taifa letu na watoto wetu hapo baadae.
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie wapambe wa CCM kwa nini mnaudhalilisha uislamu kiasi hiki? Picha mnayoupa uisalamu ni kuwa uislamu unafurahishwa na ufisadi unaofanywa na watawala simply kwa vile rais ni muisalamu,japokuwa hao mafisadi wengine ni wagalatia.Mmekosa hoja kutwa nzima ni Dr Slaa na ukristo wake , wacheni upuuzi huo nchi inamalizwa na mafisadi nyie mkiambuli kupewa kanzu.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mtanzania mwenye hekima angezingatia kusudio la awali la picha hiyo na sio kuweka maneno ya kutengeneza chini ya picha na hivyo kuleta mtazamo mbaya kwa jamii.

  Rais au Dr SLAA wanaweza kuwa walikuwa kwenye msiba au sherehe za kidini ya jamii ya waislamu au wakristo kutegemeana na picha na muhusika nk.

  jamani tusichochee udini wote tutaangamia. kutundika picha hapa na kuibadili maelezo yake ya kweli ni hatari sana kwa kuwa kila mtu anaweza kujaza wazo lake dhidi ya picha hiyo.
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wengi wetu tulitoa maoni yetu hapa kwamba, Rais alikosea kutangaza kwamba kuna udini Tanzania lakini na sisi tunarudi kulekule kutangaza udini kwa picha ya kufikirika huku maudhui yake yakiwa yamekarabatiwa. Kwanza tungeambia picha hiyo ilipigwa wapi na kwa lengo lipi na ndipo tungetoa msimamo wetu.
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Tusome vizuri ili tumuelewe Cray alitaka kumaanisha nini. Na wenzetu wa upande wa pili tuache kulalama lalama kwa vitu vidogo utadhani mitoto midogo. Hii ingetokea kwa slaa nina uhakika Magazeti ya Uhuru, Habari leo, Mtanzania na mengine mengi yalikuwa yamepata cha kuandika.
   
 13. n

  ngoko JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani hapo JK kaenda kuwafariji wafiwa na si vinginevyo. Mtoa mada ungefanya jema kama ungekuwa umetoa maelezo kamili ya tukio
   
 14. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Angefanya kama Kikwete alivyofanya. Kwani vipi???
   
 15. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa kweli wadau, mi ningependa kumtetea hapo kwa sababu hii picha ilipigwa katika msiba wa shehe....kwa hiyo most likely ambao wangekuwepo hapo ni mashehe.....kama ungekuwa msiba wa askofu fulani, labda waliomzunguka wangekuwa watu tofauti.

  ila pia ningependa kumuonya ndugu rais kuwa kwa kipindi hiki ambacho UDINI umekuwa sensitive issue, sio vyema kila kukicha kuenda kwenye vitu kama hivi...ungesingizia uko nje ya nchi basi ukamtuma mkristu pinda au membe akakuwakilishe.
   
 16. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  halafu nina swali la nyongeza wadau....OTOSO ndio nini? naona limeandikwa kwenye ukuta hapo pembeni ya Mkwere.
   
 17. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #17
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  nimechoka na mambo yenuuuuu kila kitu udini,ukikojoa udini,ukienda chooni udini jf udini,hakuna jambo la maana zaidi ya hiliiiiii? duuu kweli tumetofautiana ktk kufikilia mambo,yaaaani ukisha kula ng'una yako unawaza issue ya udini kuipeleka jf,duuuuutumechoka

  kama vipi piganeni muuuwane atakayeshindaaaa basi dini yake itawale inchi

  ivi unajisikiaje ktk roho yako pale kila ulalapo akili yako inaota jinsi ya kuleta threads za udini ktk jf?

  msema ukweliiii hapendwiii daimaaaaaa:clap2:
   
 18. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  muu sio OTOSO hiyo,..ni 0+50,..mambo ya manispaa hayo nadhani hiyo nyumba inatakiwa kubomolewa kwa amri ya manispaa
   
Loading...