Je, Anaitwaje?

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
1,533
Reaction score
266
Kwa kiingereza, mke wa Rais anaitwa "First Lady"! Je, mume wa Rais anaitwaje?
 
Kwa raisi mume mkewe anaitwa first lady na raisi wa mwanamke mumewe huwa anaitwaje?
 
festi gentloman

Mods, tupelekeeni chit chat tukajimwage.
 
Inategemea: kama ana sura mbaya kama yule anayelala bungeni tutamwita first man. Kama ana sura nzuri kama mnyika tunamwita fb.
 
hahahahahaha...mie sijui ataitwaje..je na yeye atakua na ziara km hizi za akina firstlady?
 
Huu mtihani nani msahihishaji? Kama ni Mulugo wote tegemeeni kupata ziro na foo!!
 
yeye atakuwa na ziara yoyote na atatawaliwa na mkewe kila kitu hadi kuleeeeeeeeeeee..................... mie sisemi hapo
hahahahahaha...mie sijui ataitwaje..je na yeye atakua na ziara km hizi za akina firstlady?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…