Mndendeule110
New Member
- Dec 14, 2010
- 2
- 0
Habari ndugu wapendwa wana Jf, heshima kwenu wote. Naomba mchango wa mawazo juu ya hili: nina girl friend ni mzuri sana,kazaliwa 87, ila tayari anawatoto wawili ila ukimuona ni kama hajawahi kuwa na mtoto vile,umboni dogo na anavutia.Hajawahi olewa ila bwana aliyemzalisha hao watoto kamelekeza. binti kasomea secrtarial courses na nafanya kazi stationary. sijawahi kuonana naye kimwili hata mara 1 ila roho inasita saa coz tayari yeye ana watoto wawili. nilimtega kwa mengi lakini yote yupo tayari kutkeleza.mfano nilimdanganya kuwa mie nataka mwanamke ambaye atakuwa tayari kunipa section A na B na akasemacoz ananipenda yeye yupo tayari. Hana kipato kikubwa lakini haini kunipigia simu asubuhi,mchana, jioni, nakuhusu msg ndio usiseme hadi nahisi anamaliza pesa yake kwamatumizi ya simu kwa ajili yangu. waungwana naombeni ushauri ambao utanipa mwanga wa kuweza fanya maamuzi nimuoe au laa? nawasilisha wakuu!
Afrodenzi nakushukuru sana kwa mchango wako na wadau wengine japo wengine mananiponda lakini mimi napokea tu ushauri na nitatafakari kwa kina. Mfano Afrodenzi amegusia suala la kupima Ngoma, ni kweli hilo mimi nilimjaribu kumuliza je atakuwa tayari kunipa mzigo hata kama hatujapima ngoma, yeye akasema hilo hamna shida so long as anajua mie ni mumewe mtarajiwa ataanipa tu na chochote kile yupo tayari kufanya ili mradi tu ahakikishe hanikosi katika maisha yake. sasa hapo nikaanza kuwa na mashaka makubwa, yupo tayari hata bila kupima au hata bila kutumia kinga inakuaje, ni upendo wa kawaida kwa umpendaye or something else behind? I am still waiting for u're contributions wapendwa wana JF
Dogo unaokekana hujadhamiria kuoa ila unachokifanya unachezea hisia za binti, na kuhusu kupima chukua hatua ukapime hamna haja ya kumtega, ila inaonekana nimkosefu wa maadili kwanini uombe kumla pande zote yaani mkeo mtarajiwa ndiyo wakumueleza yote hayo hufai hatakuwa baba wa familia kabisa bahati yako binti amepitia mapito mengi na amekuwa na infiriority complex ndo maana maamuzi yake yamelenga kumpata mume tu haijalishi ni asiye na maadili kama wewe au la. Ninachokuomba kama kweli dhamira imekutuma umuoe vinginevyo wewe ni mtu wa kuogopwa kupita maelezo.Afrodenzi nakushukuru sana kwa mchango wako na wadau wengine japo wengine mananiponda lakini mimi napokea tu ushauri na nitatafakari kwa kina. Mfano Afrodenzi amegusia suala la kupima Ngoma, ni kweli hilo mimi nilimjaribu kumuliza je atakuwa tayari kunipa mzigo hata kama hatujapima ngoma, yeye akasema hilo hamna shida so long as anajua mie ni mumewe mtarajiwa ataanipa tu na chochote kile yupo tayari kufanya ili mradi tu ahakikishe hanikosi katika maisha yake. sasa hapo nikaanza kuwa na mashaka makubwa, yupo tayari hata bila kupima au hata bila kutumia kinga inakuaje, ni upendo wa kawaida kwa umpendaye or something else behind? I am still waiting for u're contributions wapendwa wana JF