X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,790
- 15,016
wabongo....bwana...haya wewe unaejua nieleweshe...yani ukiona mtu kavaa zile nguo basi ndio unaona kama awezi kuingilika...mimi binafsi siku taka tuu kuoa jeshini ila hao wenye vyeo mnao waona awaingiliki wanatafuta wa kuwapendaUliza kàma huelewi upate ufafanuzi haiko hivo kama unavodhani
Wanaingilika vizuri sema kuna mipakawabongo....bwana...haya wewe unaejua nieleweshe...yani ukiona mtu kavaa zile nguo basi ndio unaona kama awezi kuingilika...mimi binafsi siku taka tuu kuoa jeshini ila hao wenye vyeo mnao waona awaingiliki wanatafuta wa kuwapenda
Nahisi mtoa mada aliuliza wao kwa wao (askari) nijuavyo hata me ni uwa hairuhisiwi mfano Lieutenant kumuoa private/ corplo ila ataruhusiwa kwa lieutenant mwenzake / lieutenant usu and other rank lakini ziw3 za juu. Ila wa chini wenyewe ruksa (wenyewe kwa wenyewe)jamani ifike kipendi...msizanie kuwa watu waliopo kwenye sekta za ulinzi labda pengine wao si binaadam ama...kwenye suala la kuoa ama kuolea haliangalii vyeo...mtu ata awe na vyeo hadi kwenye magari bado anaweza kuolewa ata na mchunga ng'ombe mapenzi na cheo ni vitu viwili tofauti...!
Acha kujifanya mjuaji. Kisheria afisa hawezi kuoa au kuolewa na askari wa kawaida Ila anaweza kuoa au kuolewa na mchunga mbuziwabongo....bwana...haya wewe unaejua nieleweshe...yani ukiona mtu kavaa zile nguo basi ndio unaona kama awezi kuingilika...mimi binafsi siku taka tuu kuoa jeshini ila hao wenye vyeo mnao waona awaingiliki wanatafuta wa kuwapenda
Nini afisa cadet hata yule canali mlinzi wa mama anapigwa pumbu vizuri tu na wananzengo wasiowahi hata kukanyaga jeshini......anainamishwa kidog dog fresh tu na viuno anakata huku akiulilia mpiniSalam sana wana JF habari za mapumziko ya mwisho wa wiki!
Ni matumaini yangu kuwa muuwazima wote.
Naomba kuwasilisha mada tajwa je askari jeshi mwenye cheo cha juu anaweza mumwoa askari mwenzake wa cheo cha chini mfano Private? Na kwa mwanamke anaweza kuolewa na wa cheo cha chini yake?
UMESIKIA KWA NANI?Nasikia haiwezekani ngoja wajuzi wa mambo waje watujuze zaidi
Kuoana Afisa na Askari hairuhusiwi ila Askari na Afisa kuoa raia inaruhusiwa wala haina tatizo lolote.MaaAmiri Jeshi wakuu Kikwete na Magufui walioa waalimu wa Primary sembuse Private aliyepiga kwata
Sawa AfandeKuoana Afisa na Askari hairuhusiwi ila Askari na Afisa kuoa raia inaruhusiwa wala haina tatizo lolote.
Mi nimepata dem mjeshi, yuko poa sana, loyal na pia social, nataka nibebe huo mzigo. Tuombeane kheri[emoji106]
Naomba kufahamuUliza kàma huelewi upate ufafanuzi haiko hivo kama unavodhani
Sawa WPNahisi mtoa mada aliuliza wao kwa wao (askari) nijuavyo hata me ni uwa hairuhisiwi mfano Lieutenant kumuoa private/ corplo ila ataruhusiwa kwa lieutenant mwenzake / lieutenant usu and other rank lakini ziw3 za juu. Ila wa chini wenyewe ruksa (wenyewe kwa wenyewe)
Kijeshi hairuhusiwi over !!
Nahisi mtoa mada aliuliza wao kwa wao (askari) nijuavyo hata me ni uwa hairuhisiwi mfano Lieutenant kumuoa private/ corplo ila ataruhusiwa kwa lieutenant mwenzake / lieutenant usu and other rank lakini ziw3 za juu. Ila wa chini wenyewe ruksa (wenyewe kwa wenyewe)
wenye vyeo hao huwa ni watamu sana.Just imagine mtu na cheo chake anatepeta mbele bholo,raha sana ukimkuna vizuri.[emoji39][emoji1][emoji16]Nini afisa cadet hata yule canali mlinzi wa mama anapigwa pumbu vizuri tu na wananzengo wasiowahi hata kukanyaga jeshini......anainamishwa kidog dog fresh tu na viuno anakata huku akiulilia mpini
Mkuu umejibu kwa dhana potofu.Nini afisa cadet hata yule canali mlinzi wa mama anapigwa pumbu vizuri tu na wananzengo wasiowahi hata kukanyaga jeshini......anainamishwa kidog dog fresh tu na viuno anakata huku akiulilia mpini