Je, Afisa Cadet anaweza kumuoa Private?

Huo utaratibu umekaaje mfano kwa majeshi mengine Wp wa police mwenye cheo cha inspector kuolewa na private wa jeshi?
 
Kama afisa cadet ni mwanaume na mwenye cheo cha chini ni mwanamke basi hiyo inaruhusiwa
 
Inasemekana anaweza akaoa uraiani na sio kuona askari aliye chini yake kicheo labda wawe wamelingana, so kwa mwalimu ni tofauti sababu Mwl ni raia

Wanaoana bila tatizo. Nawafahamu wana wake wanajeshi walioolewa na askari wa chini Kwa vyeo na walioolewa na wanaume waliowazidi vyeo wake zao.
 
Sijawahi kuona ndoa baina ya wnavyeo hawa wawili.. Pia sidhani kama inaruhusiwa
 
Wanaoa Raia sembuse private soldier
 
Mkuu sasa hapo raia wana nini mbaka ishindikane kwa mwanajeshi wakike kuolewa na raia
 
ni sawa na kuuliza et hiv waziri anaweza kumuoa mbuge? Jibu liko obvious anaoa kama kawa
 
Kwani jioni baada ya kazi huwa wanaenda nyumbani na kuingia ndani na vyeo vyao?[emoji32]
 
We oa mke.!!!
 
jamani ifike kipendi...msizanie kuwa watu waliopo kwenye sekta za ulinzi labda pengine wao si binaadam ama...kwenye suala la kuoa ama kuolea haliangalii vyeo...mtu ata awe na vyeo hadi kwenye magari bado anaweza kuolewa ata na mchunga ng'ombe mapenzi na cheo ni vitu viwili tofauti...!
 
Uliza kàma huelewi upate ufafanuzi haiko hivo kama unavodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…