Je aendelee ama asiendelee?

Mchezaji

Member
Oct 5, 2018
42
38
“Am in my mid 30ties,career iko sawa,tuganji tumeanza kuingia, but sijakuwa successffull na madame ama realtionship, i think i always looking for a perfect woman kitu nimejua she doesnt exist.

Juzi nimepata single mum ako na kadame kako kitu 4yrs, sasa mimi hi story ya kudate imenishinda cause this young girls wengi hatuwezi relate ama wako too shallow, I like this single mum and her kid, i think i wanna settle down juu nimeshachelewa.

Hiyo story ya alpha male ni upuuzi i wanna just settle down have a family of my own provide and protect and have kids whose existence is me,sitaki nifike miaka 45 midlife crisis ikingia i have no family, i have saa hiyo ndio mkazi wa Mgeninani, Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam anadaiwa kuuawa na mfanyakazi wake wa ndani, Gideon Elias (20), kwa kuchomwa na mkasi shingoni.

Tukio hilo lilitokea Jumamosi Januari 12, mwaka huu nyumbani hapo ambapo marehemu alikuwa akiishi na huyo kijana huyo akimsaidia kazi mbalimbali zikiwamo za nyumbani na shambani.

Akisimulia mkasa huo, mkwe wa dada wa marehemu ambaye hakutaka kutaja jina lake, leo Jumatatu Januari 14, katika mahojiano na Mtanzania Digital, amesema marehemu alikuwa akiishi peke yake nyumbani kwake hapo na kijana huyo ambaye aliishi nae mwaka 2017 kabla ya kuondoka na kurudi tena Septemba mwaka jana.

“Siku ya tukio marehemu alitoka kwenda dukani akarudishia milango, lakini alivyorudi akakuta milango imefungwa hali iliyomshtua kwani yeye hakuacha mtu ndani.

“Alivyokuta mlango umefungwa akampigia simu fundi anayemjengea na anayemsaidia akiwa na shida mbalimbali, kumuelezea kuna mtu ndani wakati yeye alipotoka hakuacha mtu, hivyo akabaki nje akimsubiri fundi.

“Baada ya muda mfupi, fundi alipofika akakuta geti limefungwa akagonga bila mafanikio na akipiga simu hazipatikani akachukua jukumu la kuwaita mafundi wenzie wakashirikiana kugonga lakini ikashindikana ikabidi waende kwa Mwenyekiti wa Mtaa na kisha polisi walipofika eneo la tukio waliruka ukuta na walipoingia ndani wakakuta milango yote imefungwa lakini kupitia dirisha la jikoni waliona kitu kimefunikwa kwa mkeka.

“Kwa sababu milango ilikuwa imefungwa walitumia bomba refu kufunulia mkeka huo ambapo walikuta mwili wa marehemu ukiwa na mchi na mkasi uliotumika kumchomea, wakabomoa milango na kuingia ndani.

“Walipoingia ndani walikuta mikeka mingine imefunikwa na walipoifunua walimkuta kijana huyo ambaye alianza kupiga kelele na kusema msiniue siyo mimi niliyefanya hivyo bali tulivamiwa na majambazi,” ameeleza.

Hata hivyo, mkwe huyo amesema inahisiwa kijana huyo alifanya hivyo ili achukue mafao ya marehemu ambaye mwanzoni alikuwa mfanyakazi wa Mamlaka ya Bandari (TPA), na alistaafu Desemba 30 mwaka jana.

Aidha, amesema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Temeke ukisubiri taratibu za kipolisi kabla ya kusafirishwa kwenda kuzikwa Tukuyu jijini Mbeya.

Mtuhumiwa huyo anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Maturubai Mtoni Kijichi huku uchunguzi zaidi ukiendelea.

down the good things in life are not things”
 
HAPANA asiendelee cool down you will get your size, bcz wanawake wengi huzeeka mapema na wewe still young, you will create another more bad crisis
 
Back
Top Bottom