HahahaKua makini sana siku zote tamaa ilimponza fisi,fikiria mlikotoka na mke wako na amekuvumilia mangapi na mchango wake katk family yako,hapo wew uligeuzwa mwanamke umepigwa mistari tayari umelainika,cha msingi kabisa take care hakuna cha bure kwa maisha ya sasa,utalipa kikubwa zaidi ya unavyo fikiria,
Hadithi....watoto wa 2000 hizi....tuache banaa tafuta kaziii Shigongo mwenyewe amekomaa siasa ...hizo kufikirika yeye angekywa Billionaire.....fanya kaziiiii achana ujinga wa fikra potofuHabari za siku mingi wanajamvi,
Ninamuda mrefu nimepotea humu kutokana na majukumu kua magumu hasa usawa huu ambao hata ukilalamika unaweza funguliwa mashtaka ya uchochezi na hivo siasa za awamu hii hazitabiriki kila mahali ni balaa.
Tuachane na siasa.
Kama kawaida yangu mi ni mtu wa mapenzi tuu tena mapenzi siasa siziwezi. Leo ninahili ninaloomba msaada wa kimawazo kwenu,
Mi ni Afisa flani hivi katika bank upande wa mikopo, ametokea binti mmoja ni (executive) kwenye taasisi flani ambapo tuliendaga mi namwenzangu kuwashawishi wakope katika bank yetu. Baada ya miezi ka mitatu akanitafuta na kuanza kuniambia anashida ya mkopo akapanga tukutane week end niliona ok haina shida tukaonana Slip way. Baada ya maongezi alionekana anaweza kupata mpaka milion 50 kwetu lakini yeye akasema atachukua 30 tu tena kwa ajili yangu nikashangaa kwanza nakumuuliza kwanini kwa ajili yangu?
Akajibu akasema alinipenda tangia siku ya kwanza tulivokutana na vile nilivokua na mshawishi kibiashara alikua anaona kama namtongoza na alivuta picha eti ndio nishakua mpenzi wake nambembeleza akagundua mimi ndie nitakua mtu sahihi maana vile alivokua anajisikia hakuwahi kujisikia hivo before. Akaongezea akasema ni vile mazingira magumu kunakufuatiliana ofisi maana si ninajua mambo ya anko magu angeweza kunibadilishia maisha zaidi ya hapo maana angenipa zaidi ya hapo kwa jinsi alivonielewa.
Pamoja na kumweleza kua nina mke hakutaka kunielewa zaidi alisema hajali kikubwa ni kubali ili nipate huo mpunga na kuahidi kunisaidia zaidi. Kwangu mimi nikiangalia hiyo ml 30 itanisaidia kufikia target yangu kazini na (incentive) yakueleweka hoja nyingine nikikubali nikachukua hiyo hela nitamweleza nini mke wangu yani nimeitoa wapi maana anajua kila chanzo cha income yangu.
Nifanyeje wadau?
Huenda alishazima kabisa hayupo dunianiMrejesho
Yupogo humu mkuuuuHuenda alishazima kabisa hayupo duniani
Bora ningechukua tuu maana ndoa yenyewe ilikuja ikafaMrejesho
Mtoto wa kiume kua mkuda na mzushi hiv hata haipendeziHuenda alishazima kabisa hayupo duniani
Upo kwa mwingine sio?Bora ningechukua tuu maana ndoa yenyewe ilikuja ikafa
Sababu ulikosea big time,yaani kuhusu pesa unaleta majoto only for so called wife,you pissed me off.Mtoto wa kiume kua mkuda na mzushi hiv hata haipendezi
Upo kwa mwingine sio?
Mtafute huyo demu myamalize for free,gods walishajua wewe ukacheleweshaMtoto wa kiume kua mkuda na mzushi hiv hata haipendezi
Hua hatugeuki nyuma, ukijiamini mbele fursa ni nyingi tuuMtafute huyo demu myamalize for free,gods walishajua wewe ukachelesha
Ha ha haaaaaaaaa tulia wewe Ndoa kwanza pesa baadaeSababu ulikosea big time,yaani kuhusu pesa unaleta majoto only for so called wife,you pissed me off.