Wakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.
Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko, hadi hapo miaka ya karibuni baada ya kufuatua vifaa bora na vya bei ya wastani.
Ubora na uimala wake ukashika hatamu ikauza na kuuza.
Naamu na sasa nnaweza kusema ni moja ya campuni nzuri na bora sokoni ki ushindani wa biashara na ubora wa vifaa.
Hawakuishia hapo kwani September 8 2022 kwa mala ya kwanza JBL walitambulisha sokoni mnyama wa kuitwa boomx3.
Portable speaker bora yenye radha nzuri ya muziki,
Ikikupa dynamic bass na tweeter nzuri isiyochosha.
Hizi ni baadhi ya sifa zake
1. Mzigo ni 2.1 stereo with deep bass ,hivyo itakupa mziki mzito wenye mkito mzuri
2. Ina connect kwa Bluetooth
3. Inacheza kati ya frequency 40-20KHz
4. Inafanya kazi masaa24 tangu ichajiwe full
5. Plastic yake ni chapa ya IP67 hivyo ni ngumu isiyovunjwa kwa wepesi
6. Chuma ni water proof pia inazuita takayaka kuingia
7. Chuma ina 136watts jumla
8. Chuma ina kg6.70 hivyo huchoki kuibeba.
9 Ukitaka kuochaji hadi ijae vizuri basi ni 24hrs😣
Yess its is boom x3
Anker ni mzuri ana sound n'a balance nzuri Ila Usimfanannishe n'a JBL ni habari nyingine Labda ukelee wakina Bose ,okyo,pioneer,jvc , na Bang & olufenRadio ingine bora kwa sasa na haina mpinzani na bei ni nzur ni Anker soundcore boom Motion plus, hizi brand zote mbili nimezitumia kwa almost miaka mitano sasa ila jbl yuko more famous sana ila anker ni habari ingine.Mwenye kubisha abishe ila nimeshaplace order hapaView attachment 3188945
JBL tune kwa wapenda FM redio hii ni balaa unahis Salim kikekee Upo nayo hapoNina JBL Tune 760 NC na JBL Boombox 2, jamaa wapo vizuri sana mkuu, ngoja nifanye namna nibebe Boombox 3.
Acha utapeli, marketplace zinauzwa 85,000Million moja laki tatu na hamsini
1350000
Ata kuandika tu jbl speaker imekushinda si ajabu kuuza kwa hio bei tajwa hapo, sio kila kitu ni cha kila mtu mkuu naona aibu kwa tangazo lako na midosho yako fake hioAcha utapeli, marketplace zinauzwa 85,000View attachment 3393807View attachment 3393808View attachment 3393809
Ukishazoea kupigwa hata mtu akuoneshe kuwa unapigwa utahisi huyo ndo mpigajiAta kuandika tu jbl speaker imekushinda si ajabu kuuza kwa hio bei tajwa hapo, sio kila kitu ni cha kila mtu mkuu naona aibu kwa tangazo lako na midosho yako fake hio
Acha kutudanganya tumeanza kuzijua jbl muda hio product uliopost ni fakeUkishazoea kupigwa hata mtu akuoneshe kuwa unapigwa utahisi huyo ndo mpigaji
We umejuaje ni fake?Acha kutudanganya tumeanza kuzijua jbl muda hio product uliopost ni fake
Unatupozea muda bana kubaka mada za watu nakuuliza hapa kuna jbl iko powered na joyous sijui joyce? Chief-Mkwawa Mtalii mweusi hebu nisaidienWe umejuaje ni fake?
Hizo ni OG na zinakita kinyama....hizo nizokuwekea ni bei za China.F
Unatupozea muda bana kubaka mada za watu nakuuliza hapa kuna jbl iko powered na joyous sijui joyce? Chief-Mkwawa Mtalii mweusi hebu nisaidien
Huna akili kabisa ngoja nikuache nina jbl 3zote nimenunua china na bei zake zinajulikana ngoja nikupe tu screenshot ya jbl org kwa masoko ya chinaHizo ni OG na zinakita kinyama....hizo nizokuwekea ni bei za China.
Tatizo ushazoea kupigwa na bei za wabongo
😂😂sawa sawa mkuuAcha utapeli, marketplace zinauzwa 85,000View attachment 3393807View attachment 3393808View attachment 3393809