Napenda sana Comedy! Comedians wengi tanzania hawako kisasa! Joti ana jitahidi. Ila kwa ujumla Comedy dunia ya leo inabidi uwe well informed na updated!
Jay mond, Mc pilipili, Idriss Sultan na kile kijamaa kinajiita Mama chogo hamna kitu kabisa wanafosi tu kisa wanafollowers wengi insta ila hamna kitu pale.
wale bongo comody wa insta naona wengi wanaforce wengine sasa wanataka kuwa kama K sasa.yani sijawahi kucheka hata kidogo.
sasa kuna mmoja tokea hawe tajiri yule mweusi wa dubai kila kukicha yeye kejeli na zarau kama kapata yeye
Najaribu kuwafuatilia hawa vijana wa instagram ili nione kama wanachekesha, ofcoz napenda sana comedy ila hawa nimewashindwa. At least nikiangalia church hilĺ show naburudika. Hawa wa kwetu wanahitaji muda kujipanga.