JAYDEE Apanga kununua ndege (aeroplane)

Atafilisika, asione mchezo, hajui hata bei yake achilia mbali gaharama za kuendesha, posho ya rubani kwa siku ni mshahara wa wanenguaje wake kwa mwezi.
 
kwa kweli mambo mengine hayaingii akilini, mtu kama Manji, rostam, subash patel, baharesa, mpaka na baadhi ya wasanii wakubwa huko marekani, hawana ndege zao binafsi, huyu demu anajiropokea, na kuna watu humu jamvini wana support eti anao uwezo wa kununua ndege!!. hivi mnaijua bei ya ndege? mshahara wa pilot? na running cost yake?
 
jamani anaweza bei zake akikaza sanaa....na kupagawa anaaweza....What is the price of a used DASH 8 100 aircraft?

Approximately 6.5M-8M dollars


What is the price of a used DASH 8 100 aircraft?


Approximately 6.5M-8M dollars

anaweza..............awe na lengo na saving kufa mtu.........

We naninani sijui, jina lako gumu....

Ninachokwambia ni kwamba shida ya ndege si kuinunua kaka...Ni kui'sustain, kwisha....

Haifai hiyo kitu, tuzioneni tu angani zinapita kama vishada!...Labda huyu dada aongelee ndege ndogo kabisa kama Cessna 182, au Cessna 150, ya abiria wa3, lakini si kitu kama DHC8, hii ni kifo cha ghafla!...
Kwa aina hiyo ya dash8, kila mtuo mmoja tu(landing) kwenye njia ya kurukia haipungui tshs90,000/=(kwa hapa Tanzania).
Bado fuels, parking fees, mantainance, salariesto pilots &ground staff, allowances, insurance, inspection by regulatory body, ground handling, checks1-3, na mavitu kibao, yote katika dollar!...

Ni kimbembe ati jamani, tusiongee kimichapo zaidi!
 
We naninani sijui, jina lako gumu....Ninachokwambia ni kwamba shida ya ndege si kuinunua kaka...Ni kui'sustain, kwisha....Haifai hiyo kitu, tuzioneni tu angani zinapita kama vishada!...Labda huyu dada aongelee ndege ndogo kabisa kama Cessna 182, au Cessna 150, ya abiria wa3, lakini si kitu kama DHC8, hii ni kifo cha ghafla!...Kwa hiyo dash8, kila mtuo mmoja tu(landing) kwenye njia ya kurukia haipungui tshs90,000/=(kwa hapa Tanzania).Bado fuels, parking fees, mantainance, salariesto pilots &ground staff, allowances, insurance, inspection by regulatory body, ground handling, na mavitu kibao, yote katika dollar!...Ni kimbembe ati!

hapo pakajini umenena, bora umewapa data za ndege. humu jamvini kuna watu wabishi kama ruba
 
Come what may, huyu dada hatafikia huko...hivi vitu vingine wala si vya kukwepesha!...labda apewe na mzungu, ambapo nayo hatadumu nayo hata mwaka, maana atatamani kuuza watoto (kama anao).

Iam talking through long xperience, sijawahi kuongea naye, so i dont hate her in any way.
Kama ana hela za hivyo na anunue ma'vogue hata 10, not a ndege-stuff... Ni mtazamo tu!

Katika maisha kuna malengo ya muda mfupi na malengo ya muda mrefu. Pengine hayo ni malengo yake ya muda mrefu na tusimkatishe mtu tamaa kwa yale anayotaka kuyafanya. Mimi ninaona ni malengo mazuri tena sana kwa msanii kama yeye kuwa na hayo malengo (ni mfano wa kuigwa). Kuzaa au kutozaa ni neema ya Mwenyezi Mungu.
 
Pakajimmy tunampa moyo tu dada yetu.....akaomae na kukomaa...aanzie na vindege vidogo.....atafika huko baada 20 yrs hivi ...........
 
Gharama za uendeshaji ndege ni kubwa mno! Mojawapo ni parking charge, landing fee, Service charges etc bora anunue kitu kingine ndege itamfilisi!
 
Lakini wakuu shida iko wapi? kila kitu ni malengo, kwani hao wenye kumiliki ma G500 waliziokota si walinunua? kama wao waliweza kwa nini yeye asiweze? waswahili bwana binti wa watu anajitahidi sana kwa nini msimsifie kwani ndege kitu gani bwana, aah mkatae mkubali huyu binti yuko juu na tunamuombea mafanikio zaidi ya hapo alipofika, Jide kaza buti mama utaweza kununua hata boeing sembuse Dash 8, kila kitu bidii usiwaangalie mahaters
Ni kweli kila kitu ni malengo tu. Lakini malengo hayo lazima yawe yanatekelezeka.sio malengo ya kufikirika. Pengine anataka kununua UNGO
 
jamani anaweza bei zake akikaza sanaa....na kupagawa anaaweza....What is the price of a used DASH 8 100 aircraft?



Approximately 6.5M-8M dollars


What is the price of a used DASH 8 100 aircraft?


Approximately 6.5M-8M dollars

anaweza..............awe na lengo na saving kufa mtu.........


Kwa cost hizi naungana na wadau...HAWEZI....labda auze unga!!!
 
Huyu dada naona 'visenti' anavyopata pale thai village vinampa kichwa, au anadanganywa na 'muuza sura' Gadna!!

Kununua ndege si sawa na kujenga nyumba kimara binti machozi!! try to have realistic goals, utakufa siku si zako!!
 
Wapo watu hawajui hata kuandika majina yao, husaini kwa dole gumba lakini ni matrilionea. Kuwa na pesa za kununua ndege sio lazima uwe umeenda shule. Jaydee anaweza kununua ndege, si kasema yeye?

Leka
 
Katika maisha kuna malengo ya muda mfupi na malengo ya muda mrefu. Pengine hayo ni malengo yake ya muda mrefu na tusimkatishe mtu tamaa kwa yale anayotaka kuyafanya. Mimi ninaona ni malengo mazuri tena sana kwa msanii kama yeye kuwa na hayo malengo (ni mfano wa kuigwa). Kuzaa au kutozaa ni neema ya Mwenyezi Mungu.
MALENGO (yawe ya muda wowote.......mfupi au mrefu)
1. Lazima yawe REALISTIC
2. Lazima yawe ACHIEVABLE
3. Lazima yawe na TIME FRAME
4. Lazima yawe CHALLENGING

Kama kimojawapo hapo juu kinakosekana kwenye hayo malengo, PANGA UPYA. Kwa JD naona kaweza namba 4. tu.......... hizo nyingine bila bila......
 
tusigeuze blog kama sehemu ya kushambuliana ni vema tukaheshimu mawazo ya watu,wasiwasi wangu ugonjwa wa kukosa uzaendo unatutafuna mbona baadhi ya wa tanzania wanazo ndege itakuwaje ashindwe JD?
 
tusigeuze blog kama sehemu ya kushambuliana ni vema tukaheshimu mawazo ya watu,wasiwasi wangu ugonjwa wa kukosa uzaendo unatutafuna mbona baadhi ya wa tanzania wanazo ndege itakuwaje ashindwe JD?
I beg to differ........HATUSHAMBULIANI........ BALI TUNAWEKANA SAWA....... KUHESHIMU MAWAZO YA WATU HAIMAANISHI KUWA LAZIMA UKUBALIANE NA ANACHOKISEMA MTU HUYO........ HATA KUPINGANA NA MAWAZO HAYO KUNAWEZA KUWA NA MAANA YA KUYAHESHIMU......... IT ONLY DEPENDS ON HOW YOU PRESENT YOUR MTAZAMO......
 
suala la jaydee kununua ndege linawahusu nini,anunue hata kisiwa ni cha kwake,
 
suala la jaydee kununua ndege linawahusu nini,anunue hata kisiwa ni cha kwake,
kwani yaliyosemwa na baadhi ya wana jf we yanakuhusu nini....... Hata wakimchangia kwenye ununuzi wa hiyo ndege ni wao......!!!!
 
Asifanye mchezo, huyu, hataweza...Ndege si kama Machozi Band, ambayo unaweza kuiendesha kwa kuwakopa wapigaji..huh!

Lau angejua gharama ambazo ndege inakula asingetamka hilo, labda kwa kujifurahisha tu.

kumbe mkuu hujiamini na mwoga kiasi hicho...kwani wanaonunua ndege ni malaika? ..mie naamini kabisa kila mtu anaweza but ni mipangilio na kumwomba mungu akujalie mipangilio yako ifanikiwe+hardworking bila kuloose hope 4sure i'm telling u Pakajimmy utainunua na siku moja nitakua mteja wako.
 
Back
Top Bottom