Jay Z: Bila Diamond situi Bongo!!!

Jay Z: Bila Diamond situi Bongo!!!

Ngoja nimvutie waya Jay Z ni wazi atanambia ukwel.Siyaamin magazet ya udaku
 
first time nimeliona nilicheka sana hasa hapo kwa kiba na diamond
 
Kusoma gazeti hili lazima uwe na Stroke ya Ubongo au uliwahi anguka chooni..
 
Usishangaee, huendamondi ndo muwakilishi wake katka Ile imani yao ambapo jzee ndo kiongozi
 
Back
Top Bottom