Jay Z, Beyonce and Rihanna are DEVIL WORSHIPERS

jamani mimi nataka kujiunga na freemason , je hapa Tanzania wapo mawakala wao ? je naweza kuwapata wapi hapa mjini.

Opposite Kilimanjaro Lempiski Hotel Dar es Salaam kuna lodge yao. But what do you have to offer to them? your b***d? or what? si kila kitu kilicho duniani ni cha kukimbilia. uwe mwangalifu. It is a secret society means they can be public but their objective is not as it is. I here hata Rotary club, Lions club are braches of them and illuminants. But once you are in it is not easy to get out, they rather sacrifice you.
 
Wanawazushia tu.

Bidii ya Mtu/Yako ndio itakayokufikisha kwenye Mafanikio yako.

Mengine, ni hulka zetu za kibinaadam kama ujuavyo leo hii huna mbele wala nyuma hakuna atakaesema lolote/chochote.
Sana sana utaongelewa, "jamaa amekosa mwelekeo", "jamaa hajitumi" mara "jamaa hivi" mara "jamaa vile".

Lakini pindi pale mabadiliko ya kimafanikio yatakapoanza kubadilika kidogo tu, utasikia "jamaa muuza SEMBE".
Mara "jamaa hivi" mara "jamaa vile".

Basi ilimradi tu, kwa sisi Binaadam hakuna lililojema kwetu
 
Binadamu wengi wapuuzi kila kitu freemason yaani ujinga mtupu , bora wewe umeliona hili wanaunga unga tu hawana lolote
 
Mbona Diamond, JayDee, Ali Kiba na Afande Sele wanaruka na ungo, ajabu iko wapi hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom