people citizens
Member
- Feb 16, 2019
- 75
- 53
Siku zote mtu uanza kwa kupima bila kujali atafanikisha au la ongera mr Carter kwa kufika apo ulipo unastahili ongera yani mziki umekufanya uwe tajiri akika ww icon wa mziki
duh, tabu gani?Mungu wake ni lusifa lazima awe juu, ila tabu anazopata ni afadhali ya matonya
Kama zipi brotherMungu wake ni lusifa lazima awe juu, ila tabu anazopata ni afadhali ya matonya
Ata ivo jama anazo tu 1B ni kubwaacha dola iitwe dola.
Kwa hela alizonazo angekuwa Tanzania si angekuwa bilionea kitambo
Be positive Mkuu, comment yako ina umaskini ndani yake.Mungu wake ni lusifa lazima awe juu, ila tabu anazopata ni afadhali ya matonya
mkuu, heading yako imetudanganyaSiku zote mtu uanza kwa kupima bila kujali atafanikisha au la ongera mr Carter kwa kufika apo ulipo unastahili ongera yani mziki umekufanya uwe tajiri akika ww icon wa mziki View attachment 1116550View attachment 1116551
Itakuwa Kwa Rappers maana kwa wasanii wenye ukwasi kwenye movie huko watu wanapiga hela.mkuu, heading yako imetudanganya
michael jackson miaka ya mwanzoni mwa 2000 alisema ana zaidi ya us 1billion, net worth
iweje jay z awe wa kwanza ?
kabisa aisee, maana john depp movie zake zimetengeneza zaidi ya usd8 billion hizo ni pirates of carribean tuItakuwa Kwa Rappers maana kwa wasanii wenye ukwasi kwenye movie huko watu wanapiga hela.
Sio mm nenda uka Google tu utapewa majibumkuu, heading yako imetudanganya
michael jackson miaka ya mwanzoni mwa 2000 alisema ana zaidi ya us 1billion, net worth
iweje jay z awe wa kwanza ?
Dini inawavuruga sana, kama Lucifer anafanya mtu awe bilionea basi huyo ndiyo mungu anayefaa sio huyu anayewaletea njaa daily. Dini nuksi tupu, hizi story aliyewaletea aliwaharibu sana, mtu anafanya kazi kwa bidii kila siku unasema anaabudu shetani, badala ya uige hiyo bidii unakaa kwenda kuomba, hehehe utainama kuomba hadi unakufa na njaa. Hua mna kimsemo cha kijinga ati siku ya kubarikiwa kwako inakuja, endeleeni kuisubiri hadi mnazeeka.Mungu wake ni lusifa lazima awe juu, ila tabu anazopata ni afadhali ya matonya
Be positive Mkuu, comment yako ina umaskini ndani yake.
Respect
Itakuwa Kwa Rappers maana kwa wasanii wenye ukwasi kwenye movie huko watu wanapiga hela.
Mungu wake ni lusifa lazima awe juu, ila tabu anazopata ni afadhali ya matonya
Dah, Mkuu umeandika kwa ujasiri kabisa kana kwamba una ushahidi wa hayo unayosema, ingekuwa ni rahisi hivyo si kila mtu angekuwa bilionea. Amini kufanikiwa kupo ukifanya kazi kwa juhudi na hakuna lisilowezekana chini ya jua.ni kweli jamaa ni MASTER MASON (ana Degree tatu za Freemason
Be positive Mkuu, comment yako ina umaskini ndani yake.