Jay Pharoah vs Aries Spears. Who's ill??

Jay Pharoah vs Aries Spears. Who's ill??

brother,..
Aires ni mwehuu huyu jamaa.

Ila funga kazi atabaki Kuwa Mzee wao Richard Prior.

I don't think R.P was doing impressions kama Aries na Pharoah. Binafsi sijawahi kuelewa jokes zake kivile, acting sawa.

Comparison ya hao jamaa hapo juu ni kwenye impressions.
 
You are right bro,..
Trevor Noah si umemcheki anavyofanya impression za viongozi?

Yup! Nimemuona mara kadhaa akifanya hivyo. Kinachowafanya Aries na Pharoah wawe juu, ni kwa sababu wanafanya mpaka za rappers. Umecheki hapo kwenye Sway in the morning Pharoah alivyommaliza Drake? Wizzy, Jay-Z, Minaj...dude's good.
 
Haaahaaaa!!!
Ameua vibaya kwa Kelvin Hart na Drake,....huyu jamaaa ni tahiraa.
 
Back
Top Bottom