Jay Melody - Goroka (Official video)

Naomba dua, pendo liendelee
Lisije likaungua, kwa maneno lipotee
Nitaomba samahani, makosa unisamehe
Siunajua
Hali yangu temeze
Usisikie maneno ya watu
Ukaniacha mimi
Mwenzio mi nitapoteza
Jua nakuamini
Kelele na maneno ya fyatu
Usitie akilini
Mwenzio mi ngumu kumeza, sio mboga sabini
Wajinga hawataki ibaki kismati mi nipate raha aaaah
Wanaanda kamati
Minuno ya kila saa
Isengwembaka bas eti kisa ashuo
Fujo kila saa aaah
Simu zao za smati
Mapicha ya kila saa aaah

Hook
Mamy uridhike na goroka
Usije we ukanizuga
Na penzi letu game la nyoka
Angalia usije gonga

Mamy ridhika na goroka
Usije we ukanizuga
Na penzi letu game la nyoka
Angalia usije dunda

Chorus
Mi nakuzimia aaaah sana
Oooh ouuuo aaah sana
Iyaga iyooo aaah sana
Uooh ouuuo aaah sana

Mi nakuzimia aaah sana
Iyeyee iyeee aaah sana
Iyaga iyoo aah sana
Uooh ouoo aah sana

Mi nakuzimia aaaah sana
Oooh ouuuo aaah sana
Iyaga iyooo aaah sana
Uooh ouuuo aaah sana

Thank u so much my hubby.Nakupenda unanipenda tunapendana.Mi wako tu siku zote,we ndo mwanaume wangu pekee ninaekupenda kwa dhati,sikuachi na siwezi kukuacha kamwe,nakupenda leo,kesho na siku zooooteeeee
 
Thank u so much my hubby.Nakupenda unanipenda tunapendana.Mi wako tu siku zote,we ndo mwanaume wangu pekee ninaekupenda kwa dhati,sikuachi na siwezi kukuacha kamwe,nakupenda leo,kesho na siku zooooteeeee
Asante sana bby,i love u more

Fanya umalize mambo yako urudi kilingeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom