Javascript For Beginner In Swahili

basi sawa
 
Duh! Kwa uandishi huu ndio unafikiria na kuandika kitabu? Labda cha chekechea.... Uchore na mabata mabata wtoto wafurahie...
 
Duh! Kwa uandishi huu ndio unafikiria na kuandika kitabu? Labda cha chekechea.... Uchore na mabata mabata wtoto wafurahie...
Kwani tatzo Iipo wapi?? Kweny intro ya kitabu au intro ya humu JF pia Asante kwa ushaur wako. Ntaufanyia kaz.
 
Naona watu hawapendi kuona kazi za wengine nilitegemea kwa anayejaribu kufanya aungwe mkono, ikiwezekana hata msaada wenu mnaodhani atashidwa kuandika mungane nae ili kusaidia kufikia malengo. Si kila mtu atasoma awe developer kuna matumizi nnje ya udeveloper please. Sio kila anaekwenda shule anafaulu.
 
Nashukuru kwa kutoa Maoni mazuri, Ila ingawa baadhi Maoni Yao yako negative Ila mimi naendelea kuandika Kwani lengo kumfanya mtu kuelewa maana ya hii ki2 jap kutakua na baadhi ya makosa kuhusu matumizi ya kiswahili Lakin natumaini wengi wenye nia ya Kujua hawatojari.
 
The information you write is so basic... Its so basic such that its not a newsworth... May be kwa sababu ni intro... Me nikategemea ningekutana na ma code ya JAVA script ya kufa mtu...
Labda ujasoma vizuri, Lakin utambulisho huu ni kwaajiri ya uwandaaji wa kitabu ambacho bado hakijaisha bdo, kwaiyo lengo la kufungua hili jukwaa nikujua wangapi watakua na uwezo wa kupakua na kusoma hiki kitabu.

Pia basic is what needed as the book intro says.
 
nakitaka hichi kitabu...inakuwaje hebu nipe mchakato
 

Naomba maelezo juu ya VPN.
 

Hata huo mfano wa hicho kitabu hapo kwenye box tayari makosa ni mengi.


Tafadhali jifunze tena na tena Lugha ya Kiswahili.






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…