Java: Utangulizi ! || SEHEMU 1

Java: Utangulizi ! || SEHEMU 1

Vijana wa 'tech' mna mbwembwe sana, mnabishana kwenye vitu dhaifu sana, ndio maana ubishani wenu si wa kujengana bali kutambiana na kubomoana.
Kwa wema tu Mkuu, Leta mkakati tufanye POSITIVE, Maneno haya vunji mfupa, Kitendo kibovu ni Bora kuelekea ukomavu kuliko, Maneno matupu Bora kuelekea ukomavu, Mimi nazani, tulivyo jitokeza hadharani na mbwembwe, ukaziona ukagundua ni mbwembwe SIO Vibaya kushauri POSITIVE, tungetulia na dhaifu hivi, ungekosoa Gani ambavyo hauja viona, Hauna ushaidi kama sisi na vitu dhaifu Tuna JEULI la kukatalia mjadala wako ambao utakuwa na mabishano ya kujenga.

Sawa Tunabomoa, hatujengi, Mimi maarifa yamepelea hapo, Usiyafiche Maarifa Yako, Mimi Nina kiu ya kujifunza hasa TECH,

Tunabishana, vitu dhaifu hivyo hivyo wengine wanatamani kuvijua, Ili wafike huko labda kwenye vya maana unavyo vimaanisha.

Ukifika hatua kubwa usi beze hatua waliyopo wengine, Wasaidie wafike ulipo, kama unataka kulipwa wenye kuweza wata kulipa.

Naomba utoe Muongozo, Wakujua zaidi Ili Vijana wa Tech Pasiwepo, Mbwembwe, JF ni kubwa Uta okoa Jahazi la Vijana wa Tech

Please 🙏 shape Us... Taifa linahitaji watu wakutoa Muongozo Ili tufike mapema tuko nyuma Sana.

Au Labda Mimi peke Yangu Ndio Niko Nyuma Sana kwenye Tech,
 
Kijana wa tech, endeleza darasa.
 
Java:
public class JavaCourse {
    private String teacher = "JikuTech";
    private int progress;
    private int[] teacherAttendance;
    private int totalTeachingSessions = 0;

    public JavaCourse(int[] teacherAttendance, int totalTeachingSessions) {
        this.teacherAttendance = teacherAttendance;
        this.totalTeachingSessions = totalTeachingSessions;
    }

    private boolean isCourseAlive() {
        int attended = 0;
        int absent = 0;

        for (int num : this.teacherAttendance) {
            if (num == 1) {
                attended++;
            } else if (num == 0) {
                absent++;
            }
        }

        return absent < attended;
    }

    public String trackProgress() {
        if (teacherAttendance.length == totalTeachingSessions && isCourseAlive()) {
            return "Active";
        } else if (teacherAttendance.length < totalTeachingSessions) {
            return "Not active";
        } else {
            return "Inactive or Abandoned";
        }
    }

    public static void main(String[] args) {
        int[] attendance = {1, 1, 0, 1};
        JavaCourse course = new JavaCourse(attendance, 4);
        System.out.println(course.trackProgress());
    }
}

jikuTech hebu karun hii code tujue hili class lako lipo live au?

Mkuu shirikianeni kufundisha watu wapate ujuzi ni hayo tu..
Unajichekesha nini? saivi na reply kwa code tu!
 
Mkuu mimi sina shida emu pambana na wale Gen Z wamevamia huko...
 
Amna noma, wengi wanakwama kwenye Algorithm and Data structures
 
Back
Top Bottom