mimi nilihangaika sana Ndio maana nafundisha , Hapakuwepo Content nyingi za Kitanzania , Sitaki Wengine Wahangaike kama mimi , yoyote anaye taka huwa namfundisha kutokana na yeye na chochote ninacho fahamuMkuu shirikianeni kufundisha watu wapate ujuzi ni hayo tu..
Labda whatsapp darasa 10000 mpaka bigginer inaisha ila kuandaa content na kuziweka bure uongoMkuu shirikianeni kufundisha watu wapate ujuzi ni hayo tu..
Mimi mzee weww 84 yearsNdio nimeweka mimi, 24 years old, natumia muda mwingi kujifunza nikifahamu nafundisha ninawanafunzi pia ,, wewe una umri gani???
Nakukaribisha kwenye site yangu bonyeza hapamimi nilihangaika sana Ndio maana nafundisha , Hapakuwepo Content nyingi za Kitanzania , Sitaki Wengine Wahangaike kama mimi , yoyote anaye taka huwa namfundisha kutokana na yeye na chochote ninacho fahamu
Sikaribii mkuu...Karibu, Mkuu
Ulale mkuuInahitaji Moyo na Maono
Nakutania mzee mbona umri wangu upo kwenye profileInatakiwa uwe. Na OS kwenye Electronics kadhaa,
Hapa unatuogofyanimetumia java ku tengeneza Backend ya mfumo Dental Lab , Dental Lab Management system, Siyo nzuri sana kusema hadharani kwa ajili ya usalama ila kama mtanzania mwenye nia ya kujifunza haya nime risk,, Na mingine kadhaa
Ma Hacker ni watu wanao tegemea sana taarifa , Unapotoa ni namna gani umetengeneza mfumo unampa uwezo mzuri wa kukushughulikia , hata kama sio leo , Hii Hii Reply yangu hata kama sio leo akipata taarifa za namna hii inamsaidia sana ,,,,, kama unavyo fahamu vitu vina long last kwenye internet....Hapa unatuogofya
Mwanzo nimekimbilia uzi nikijua kuna transparency
Usalama gani mzee hata ukisema nani atahangaika na backend yako labda kama kuhufata security proceduresHapa unatuogofya
Mwanzo nimekimbilia uzi nikijua kuna transparency