// java: Different problems and solution;

TZ boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
630
Reaction score
184
JAMANI MI NI BIGINNER KABISA KWENYE JAVA BUT KATIKA SOMA SOMA YANGU NIMEKUTANA NA TATITIZO WAKATI WA UANDISHIB WA CODE ZA
LENGO LANGU NI KUANDIKA SIMPLE ATM PROGRAM INTAKAYO KUWA INA MWAMBIA USER KUITA CERTAIN NUMBER WHICH REPRESENT SERVICES FLANI

NIKAAMUA KUTUMIA SWITCH BUT NAPATA ALOT OF ERROR NINAPO COMPILE SOURCE CODE ZANGU: NIKADHANIA LABDA MAY BE SWITCH HAIWEZI KUNISAIDIA KWA TATIZO LANGU AU NI SYTAX YA CODE ANY HELP PLEASE......

AM Young And I lIKe Tech ISSUES,

CODE ZENYEWE HIZI HAPA::

import java.util.Scanner;

class SwitchStatement2{
public static void main(String [] args ){

Scanner input = new Scanner(System.in);

System.out.print("Enter 1 For BALANCE");
System.out.print("Enter 2 For DRAW");
System.out.print("Enter 3 For CHANGE LANGUAGE");
int a = input.nextInt();

switch(a){
case 1:
{
switch (i){
Scanner input = new Scanner(System.in);
System.out.println("Enter 1 For CHECK LAST BALANCE");
System.out.println("Enter 2 For CHECK CURRENT BALANCE");
System.out.println("Enter 3 For CHECK TOTAL BALANCE AVAILABLE");
int i = input.nextInt();
break;
default;
System.out.println("You Chouse Out Of Balance");
}
break;

case 2:
{
switch (j){
Scanner input = new Scanner(System.in);
System.out.println("For Tsh.2000 Enter 1");
System.out.println("For Tsh.4000 Enter 2");
System.out.println("For Tsh.6000 Enter 3import java.util.Scanner;

System.out.println("For Tsh.6000 Enter 3");
int j = input.nextInt();
break;
default;
System.out.println("You Chouse Out Of Balance");
}

break;
case 3:
{
switch (k){
Scanner input = new Scanner(System.in);
System.out.println("For KISWAHILI Enter 1");
System.out.println("For ENGLISH Enter 2");
int k = input.nextInt();
break;
default;
System.out.println("You Chouse Out Of CHOISE");
}
break;
default;
System.out.println("YOU CHOISE OUT OF OUR SERVICE");

}

}

}

");

ANY HELP PLEASE................ OR ANY ADVICE
 
ngoja nizipitie vizuri hizo code then ntarudi
 
navyo viona kwa haraka, kwanza una declare variable sehemu isiyo stahili. hizo I, j, Kinondoni umezitumia kwanza then ndio ukaenda kuzi declare chini.

pili kuna object ume declare mara mbili kwa jina mmoja. mfano object input of type scanner umeitengeneza mara mbili. haukua na haja ya kutengeneza tena ungemtumia tu.
 
mie ni mgeni kabisa kwenye java ila. atamani kupata somo, mwenye kujua ninyoweza kujifunza naomba msaada
 
Kwanza fanyia kazi maoni ya peri then ume-declare mara 2 main program kitendo ambacho sidhani kuwa ni sahihi katika language ambazo ni Object oriented languages yaani "public static void main(String [] args ){" imejitokeza mara mbili katika program moja.Nadhani ungetakiwa kutengeneza class katika program yako mfano DRAW,BALANCE na CHANGE_LANGUAGE zingekuwa class.
 
Last edited by a moderator:

Kuna vitabu vipo poa sana katika mtu anayeanza kusoma Java na hata video zake zipo pia..zitafute utaipenda sana Java
 
navyo viona kwa haraka, kwanza una declare variable sehemu isiyo stahili. hizo I, j, Kinondoni umezitumia kwanza then ndio ukaenda kuzi declare chini.

pili kuna object ume declare mara mbili kwa jina mmoja. mfano object input of type scanner umeitengeneza mara mbili. haukua na haja ya kutengeneza tena ungemtumia tu.

Asante.... ngoja nifanyie kazi...
 
Asante , kuna hiki kimoja nimekiona ni cha: TEACH YOUR SELF JAVA IN 21 DAYS vipi nikizuri??????????????
 
Kwanza fanyia kazi maoni ya peri then ume-declare mara 2 main program kitendo ambacho sidhani kuwa ni sahihi katika language ambazo ni Object oriented languages yaani "public static void main(String [] args ){" imejitokeza mara mbili katika program moja.Nadhani ungetakiwa kutengeneza class katika program yako mfano DRAW,BALANCE na CHANGE_LANGUAGE zingekuwa class.

Kwa kuongeza jaribu kutumia method zaidi ya moja itaifanya kazi yako iwe na muonekano mzuri na iweraisi kufix bug
 
Last edited by a moderator:
Asante , kuna hiki kimoja nimekiona ni cha: TEACH YOUR SELF JAVA IN 21 DAYS vipi nikizuri??????????????
Tafuta kitabu kinachoitwa How to program,seventh Edition..kina kurasa kama 1000+ ni kizuri sana tena sana usipojua java basi kichwa itakuwa ngumu sana
 
Samahani nimeintall wampsaver lakin shortcut icon yke km imecorrupt nini tatizo namba msaada
 
ANY HELP PLEASE................ OR ANY ADVICE

Mkuu you are doing it all wrong...
Kwanza usideclare a switch statement kabla ya kudeclare variable yenyewe na ukaipa default value...

Mfano wako:

Code:
[SIZE=2]case 3:
{
[COLOR=#ff0000]switch (k[/COLOR]){
Scanner input = new Scanner(System.in);
System.out.println("For KISWAHILI Enter 1");
System.out.println("For ENGLISH Enter 2");
[COLOR=#ff0000]int k = input.nextInt();[/COLOR]
break;
default;
System.out.println("You Chouse Out Of CHOISE");
}[/SIZE]

inavotakiwa kua

Code:
System.out.println("For KISWAHILI Enter 1");
System.out.println("For ENGLISH Enter 2");
int k = input.nextInt();

switch(k){
case 1: Hapa utaita method ya kuweka lugha iwe kiswahili;

case 2: Hapa utaita method ya kuweka lugha iwe kiingereza;

default: labda default ni kiswahili/english inategemea na wewe
}

tatizo kwenye code yako switch(k) haitambui "k" ni nini kwa kua umekuja kuideclare chini huku, kitu kingine, mpangilio wako si mzuri kabisa, kuweka switch within a switch unafanya code iwe complex and very hard to read..

Zipo njia nyingi out of this, jaribu tu kusplit your code into different methods. Mfano unaweza kua na method ambayo itadeal na part ya kwanza peke yake, then method itakayodeal na kutoa pesa, method itakayodeal na kuangalia balance, method itakayodeal na kuquit kama mtu anataka kuquit out of the program... Kuzicombine zote kwa pamoja hivi its very bad practice.

Alafu unavotengeneza a class labda niassume kua hizo SwitchStatement1 and 2 ni classes tofauti zilizoko kwenye two different files kabisa ulikua unajaribu different trials maana ukisema unazicombine pamoja alafu una main functions mbili tofauti its wrong.

Kwa fastafasta mtu mwenye mpangilio mzuri angefanya kitu kama hiki

Code:
public class ATM{
    private int balance;
    private String language;
    private boolean terminateProgram = false;    

    //Accessor methods/functions
    public void getBalance();
    public void getLanguage();

    //
     public void drawMoney();
     public void depositMoney();
     public void changeLanguage();

}

Alafu kwenye a different file sasa unacreate an object ATM, unafanya Scanning kule alafu unatumia Switch statement kuita methods mbalimbali kutoka kwenye class ATM. Vitu kama kuscan hiyo enter 1 for kiswahili 2 for nini, unaimplement kwenye method yake "changeLanguage()" ambayo yenyewe itabadilisha private variable ya language kulingana na choice ambayo mtu ametaka, ukipenda unaweza igeuza iwe inareturn boolean value "true" kama language changed au "false" if anything went wrong...

Hiyo ni rough idea, unaweza implement kwa njia nyingi ambazo ni bora zaidi, sema for a beginner in OOP that would do... Nakushauri urudie vizuri concepts za programming maana kitu kidogo kama kuweka variable juu kimekupiga chenga ukienda mbele kwa speed kuna very important concepts utakua unaacha nyuma...

Chukua videos youtube, unaweza ukaanza na jamaa anaitwa "Derek Banas" au "theNewBoston" wana tutorials nzuri za java kwa mtu ambaye anaanza mwanzo kabisa fatilia playlist yao ya java, anza na video ya kwanza hadi utakapoishia kwa mpangilio
 
mkuu you are doing it all wrong...
Kwanza usideclare a switch statement kabla ya kudeclare variable yenyewe na ukaipa default value...

Mfano wako:

Code:
[size=2]case 3:
{
[color=#ff0000]switch (k[/color]){
scanner input = new scanner(system.in);
system.out.println("for kiswahili enter 1");
system.out.println("for english enter 2");
[color=#ff0000]int k = input.nextint();[/color]
break;
default;
system.out.println("you chouse out of choise");
}[/size]

inavotakiwa kua

Code:
system.out.println("for kiswahili enter 1");
system.out.println("for english enter 2");
int k = input.nextint();

switch(k){
case 1: Hapa utaita method ya kuweka lugha iwe kiswahili;

case 2: Hapa utaita method ya kuweka lugha iwe kiingereza;

default: Labda default ni kiswahili/english inategemea na wewe
}

tatizo kwenye code yako switch(k) haitambui "k" ni nini kwa kua umekuja kuideclare chini huku, kitu kingine, mpangilio wako si mzuri kabisa, kuweka switch within a switch unafanya code iwe complex and very hard to read..

Zipo njia nyingi out of this, jaribu tu kusplit your code into different methods. Mfano unaweza kua na method ambayo itadeal na part ya kwanza peke yake, then method itakayodeal na kutoa pesa, method itakayodeal na kuangalia balance, method itakayodeal na kuquit kama mtu anataka kuquit out of the program... Kuzicombine zote kwa pamoja hivi its very bad practice.

Alafu unavotengeneza a class labda niassume kua hizo switchstatement1 and 2 ni classes tofauti zilizoko kwenye two different files kabisa ulikua unajaribu different trials maana ukisema unazicombine pamoja alafu una main functions mbili tofauti its wrong.

Kwa fastafasta mtu mwenye mpangilio mzuri angefanya kitu kama hiki

Code:
public class atm{
    private int balance;
    private string language;
    private boolean terminateprogram = false;    

    //accessor methods/functions
    public void getbalance();
    public void getlanguage();

    //
     public void drawmoney();
     public void depositmoney();
     public void changelanguage();

}

alafu kwenye a different file sasa unacreate an object atm, unafanya scanning kule alafu unatumia switch statement kuita methods mbalimbali kutoka kwenye class atm. Vitu kama kuscan hiyo enter 1 for kiswahili 2 for nini, unaimplement kwenye method yake "changelanguage()" ambayo yenyewe itabadilisha private variable ya language kulingana na choice ambayo mtu ametaka, ukipenda unaweza igeuza iwe inareturn boolean value "true" kama language changed au "false" if anything went wrong...

Hiyo ni rough idea, unaweza implement kwa njia nyingi ambazo ni bora zaidi, sema for a beginner in oop that would do... Nakushauri urudie vizuri concepts za programming maana kitu kidogo kama kuweka variable juu kimekupiga chenga ukienda mbele kwa speed kuna very important concepts utakua unaacha nyuma...

Chukua videos youtube, unaweza ukaanza na jamaa anaitwa "derek banas" au "thenewboston" wana tutorials nzuri za java kwa mtu ambaye anaanza mwanzo kabisa fatilia playlist yao ya java, anza na video ya kwanza hadi utakapoishia kwa mpangilio

asante sanaaa nafanya kazi kwa nguvu ushauri wako..
 
Mkuu you are doing it all wrong...
Kwanza usideclare a switch statement kabla ya kudeclare variable yenyewe na ukaipa default value...

Mfano wako:

Code:
[SIZE=2]case 3:
{
[COLOR=#ff0000]switch (k[/COLOR]){
Scanner input = new Scanner(System.in);
System.out.println("For KISWAHILI Enter 1");
System.out.println("For ENGLISH Enter 2");
[COLOR=#ff0000]int k = input.nextInt();[/COLOR]
break;
default;
System.out.println("You Chouse Out Of CHOISE");
}[/SIZE]

inavotakiwa kua

Code:
System.out.println("For KISWAHILI Enter 1");
System.out.println("For ENGLISH Enter 2");
int k = input.nextInt();

switch(k){
case 1: Hapa utaita method ya kuweka lugha iwe kiswahili;

case 2: Hapa utaita method ya kuweka lugha iwe kiingereza;

default: labda default ni kiswahili/english inategemea na wewe
}

tatizo kwenye code yako switch(k) haitambui "k" ni nini kwa kua umekuja kuideclare chini huku, kitu kingine, mpangilio wako si mzuri kabisa, kuweka switch within a switch unafanya code iwe complex and very hard to read..

Zipo njia nyingi out of this, jaribu tu kusplit your code into different methods. Mfano unaweza kua na method ambayo itadeal na part ya kwanza peke yake, then method itakayodeal na kutoa pesa, method itakayodeal na kuangalia balance, method itakayodeal na kuquit kama mtu anataka kuquit out of the program... Kuzicombine zote kwa pamoja hivi its very bad practice.

Alafu unavotengeneza a class labda niassume kua hizo SwitchStatement1 and 2 ni classes tofauti zilizoko kwenye two different files kabisa ulikua unajaribu different trials maana ukisema unazicombine pamoja alafu una main functions mbili tofauti its wrong.

Kwa fastafasta mtu mwenye mpangilio mzuri angefanya kitu kama hiki

Code:
public class ATM{
    private int balance;
    private String language;
    private boolean terminateProgram = false;    

    //Accessor methods/functions
    public void getBalance();
    public void getLanguage();

    //
     public void drawMoney();
     public void depositMoney();
     public void changeLanguage();

}

Alafu kwenye a different file sasa unacreate an object ATM, unafanya Scanning kule alafu unatumia Switch statement kuita methods mbalimbali kutoka kwenye class ATM. Vitu kama kuscan hiyo enter 1 for kiswahili 2 for nini, unaimplement kwenye method yake "changeLanguage()" ambayo yenyewe itabadilisha private variable ya language kulingana na choice ambayo mtu ametaka, ukipenda unaweza igeuza iwe inareturn boolean value "true" kama language changed au "false" if anything went wrong...

Hiyo ni rough idea, unaweza implement kwa njia nyingi ambazo ni bora zaidi, sema for a beginner in OOP that would do... Nakushauri urudie vizuri concepts za programming maana kitu kidogo kama kuweka variable juu kimekupiga chenga ukienda mbele kwa speed kuna very important concepts utakua unaacha nyuma...

Chukua videos youtube, unaweza ukaanza na jamaa anaitwa "Derek Banas" au "theNewBoston" wana tutorials nzuri za java kwa mtu ambaye anaanza mwanzo kabisa fatilia playlist yao ya java, anza na video ya kwanza hadi utakapoishia kwa mpangilio

He is a beginner bro, cut him some slack!
 
TZ boy....ningeshauri unapotaka kushare code usiicopy na kupaste hapa, JF formats the code na inaiharibu readability.

Pitia codepad.org uwe una paste code hapo na kuleta link ili iweze kusomeka vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom