Java & Android Programming Training

Java & Android Programming Training

Wapendwa Wateja wetu,
Tunasikitika kuwa Mafunzo yetu hayajaanza kama ilivyopangwa. Hii ni kutokana na shida ya Umeme iliyowafanya wanafunzi wetu kushindwa kuwepo wakati wa masomo na hivyo kuvuruga ratiba nzima.
Tunaipitia ratiba upya ili kutoa tarehe mpya ya kuanza.
Kwa sababu hii basi, tunafungua milango kwa nafasi 22 zilizobakia kwa wanaopenda kujiunga nasi. Tutatangaza ratiba mpya hivi karibuni na siku ya maonyesho ya bure.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza.
Uongozi.
 
Back
Top Bottom