Java & Android Programming Training

Java & Android Programming Training

mnapatikana Wapi
Tunapatikana Ubungo Riverside, mtaa wa Maasai

maana wingine tukisikia Programing na Java Hzo, huwa nahisi kama nimeongezewa miaka ya Kuishi. Maskini wake hata kimoja Sina ujuzi nacho
Usiogope. Hii ni kozi ya watu kama wewe alimradi ukidhi vigezo viwili vilivyotajwa kwenye hiyo PDF: (1) Kujua Kiingereza cha kutosha kuwasiliana na mwalimu (2) Uwezo wa kutumia Kompyuta kwa matumizi ya kawaida

Hayo mengine utafundishwa. Usiogope kwa kuwa hata manguli unaowaona hawakuzaliwa wanajua. Kuna mahali walilipa gharama ya kujifunza na ndio wako hapo!
 
wats ur teaching schedule for workes
The training runs only week days (Monday to Friday) from 15H00 to 17H00. You can learn at your office with your laptop and headphones.

Let me know if you have further questions
 
Gharama zikoje?
Foundation of Java - $100 kwa wale walio nje ya Tanzania na 200,000Tsh kwa waliopo Bongo.
Android Development - 150$ kwa nje ya Tanzania na 300, 000Tsh

kwa hiyo kwa anayetaka kuishia kwenye Foundation of Java atalipia $100/200,000Tsh na anayetaka kusoma Android Dev. ni $250/500,000Tsh

I hope nimejibu swali lako. Kama sivo unaweza kuuliza tena!
 
Ni nje ya mada ila je wewe ni ndugu na wale akina Mtangoo wa Kaloleni Arusha (St. James)
Akina Emmanuel, John, Elkana nk
 
Mkuu, ebu nijuze kama kuna limitation ya umri katika kozi hii. Napenda sana programing ingawa naona lama umri umeenda vile...
 
Mkuu, ebu nijuze kama kuna limitation ya umri katika kozi hii. Napenda sana programing ingawa naona lama umri umeenda vile...
Katika vigezo vyote umri hakipo. Maadam Kiingereza cha kuelewana na mwalimu kipo na unajua kutumia kompyuta kwa matumizi ya kawaida basi unaweza kujifunza.

Ingawa umri ukiwa umekwenda sana sishauri (around 60's and 70's) kwa sababu ya kupungua kwa nguvu na concentration. kwa sababu umri sio kigezo kizuri cha kupima nguvu, unaweza kuangalia kama unaweza kuwa na nguvu na muda wa kufanya mazoezi na kuweza ku concentrate basi hakuna tatizo kabisa.

Kufupisha ni kuwa una qualify kabisa mengine ni wewe uko kwenye nafasi nzuri ya kuyatolea uamuzi.

Kama kuna swali zaidi karibu!
 
Tunapatikana Ubungo Riverside, mtaa wa Maasai

Usiogope. Hii ni kozi ya watu kama wewe alimradi ukidhi vigezo viwili vilivyotajwa kwenye hiyo PDF: (1) Kujua Kiingereza cha kutosha kuwasiliana na mwalimu (2) Uwezo wa kutumia Kompyuta kwa matumizi ya kawaida

Hayo mengine utafundishwa. Usiogope kwa kuwa hata manguli unaowaona hawakuzaliwa wanajua. Kuna mahali walilipa gharama ya kujifunza na ndio wako hapo!
Ngeli ipo kichwani mkuu, Laptop kwa matumizi ya nyumbani Nipo Fresh Kabisa.

Ngoja nifanye utaratibu niwasogelee hapo.
 
Ngeli ipo kichwani mkuu, Laptop kwa matumizi ya nyumbani Nipo Fresh Kabisa.

Ngoja nifanye utaratibu niwasogelee hapo.
Karibu sana. Ila masomo yanafanyika online kwa kutumia special Platform. Hakuna tofauti na darasa la kawaida isipokuwa hautahitaji kuja na kurudi wala kupoteza muda kwenye foleni. Unasoma popote ulipo. Na ikitokea umechelewa kipindi au umekosa muda kwa siku hiyo, basi utakuwa na nafasi kwa kipindi fulani kuicheza recorded session kujua pale ulipokosa.

Ukipenda kututembelea ofisini, karibu pia. tuwasiliane PM kwa ajili ya appointment.
Karibu sana!
 
Kwa wale ambao wako Tayari kuanza tar 25 unaweza kunitumia namba yako ya WhatsApp PM. Kuna Group maalum kwa ajili ya taarifa za ndani. Meanwhile maswali yote bado niko hapa kuyajibu
 
Reminder: 5 days to go

Q: Je naweza kujiunga na kozi ikiisha kuanza?
A: Hapana! Baada ya Tarehe 25/10 Hautaweza kujiunga mpaka kozi mpya. Hii ina maana itabidi usubiri kozi inayofuata ambayo haitakuwa hii.
 
Mkuu naamini uko vizur kwenye hyo ishu, nlikuwa nacode java natumia netBeans ila kimbembe kipo kwenye ku insert data kwenye database code hazna errors lkn cha kushangaza data hazifiki, servlet pia nimeconnect nayo fresh sasa sjui nazingua wap
 
ni vyema ukafungua uzi mpya wenue swali lako halafu tukasaidiane huko. Weka na hizo code zako kwenye huo uzi ufumbuzi utapatikana huko
 
Q: Nataka Kusoma awamu ya Disemba tu, Je inawezekana?

A: Hapana. Awamu ya Disemba ni sehemu ya pili ya kozi hii na inahitaji msingi mzuri ambao unajengwa na awamu ya kwanza. Kwa kuwa ni vigumu kuwapima watu kujua kama wana msingi mzuri kwa sasa ni lazima mtu apitie sehemu ya kwanza ili ajifunze ya pili.

Huko nyuma tulikuwa tunaruhusu mtu kujifunza awamu ya pili kama anadhani ya kwanza anaifahamu na tulipata shida kwa kuwa walikuwa na msingi mbovu na hivyo muda mwingi ulipotea kujaribu kuwaelekeza mambo ambayo kama wangejifunza awamu ya kwanza yangeokoa muda.

Kuepuka hili na kumwondolea mwalimu mzigo na kuepuka kuwa bore waliosoma awamu ya kwanza, ni lazima mtu asome Foundation of Java kabla ya Programming Mobile Apps with Android
 
Tomorrow our Training Commences and registration closes. If you are serious about Joining and have some few doubts, let's talk inbox and you can have the first session for free, just to clear your doubts.

Otherwise inbox me for Payment methods and make sure that you register before it is too late

Java and Android 09-10-2017_finale.png
 
Finally the day is here!
It is the final registration day and after here we'll not admit anyone until the course concludes in 2018.
See you at 15H00!
 
Mfumo gan unatumika kufundishia? Classroom? au? Online?
online classroom live na mwalimu. Ni kama darasa la physical but linakuwa online.

Kipindi cha leo ni bure ili kujibu maswali kama haya. Kama unapenda kujiunga nitumie namba yako inbox nikuunge kwenye group ya whatsapp ambapo pamoja na mengine kuna taarifa ambazo haziendi public
 
Back
Top Bottom