Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee! ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo. Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015. Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze. Nakuunga mkono 100% naanza kuwa na mashaka na credibility ya watu wa Kaskazini
Unaongelea mwaka 95 wakati CCM ingari imara, tena na Nyerere alikuwa yu ngali hai.....leo mwaka 2015 CCM i vipande vipande chini ya M/kiti JK, Kinana na Mangula ni kama wanalazimishwa kufanya kazi, MKAPA,MWINYI,KARUME na wazee wengine kama kina Warioba na Butiku wnatamani CCM ife waangalie ustaarabu mwingine.
95 ni jasusi mrema.2015 ni mbowe na lowassa usijitoe ufahamu
wewe acha uongo upinzani haukuanzishwa na mrema inawezekana ulikuwa hujazaliwa, mrema alifukuzwa ccm baada ya kutofautiana nao kuhusu kashfa ya Chavda, si kweli kwamba alitumwa kuua upinzani.Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!
ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.
Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.
Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.
sawa mkuu jingalaoHii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!