Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

Sasa kwanza wangap mpo active?

Nimeshanunua yote mpaka mwisho so maskini wenzangu kaene watatu watatu nishushe mzigo aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Bahati mwamba nilikutumia shs 3000 tarehe 18/02 kwa ajili ya riwaya hujanitumia na bado unaniita tapeli
 
Aisee!! Naona umeona nafaidi kuuza riwaya! Umeamua kukatia kwa mbele!!
Hakuna alieitwa tapeli tangu nauza hadi sasa!!

Lakini pia tangu hiyo tarehe sikuwa nauza 3000/= ila 1000/=
Tafadhali ndugu acha roho mbaya na uzandiki tafadhali.
Hakuna ninae mdai wala anaenidai! Na kama yupo basi hawezi kuwa wewe!!

Tafadhali kama unalingine sema ila sio biashara hii ya riwaya na kama waona nafaidi sana basi anza kuandika na ww uuze tutanunua bila hiyana kamanda
 
Sijaona sms yoyote ya kunikumbusha katika namba zangu tatu zote!!
Ifikie hatua mtu useme linalokukera kuliko shutuma hii komredi!

Weka ushahidi hapa wa sms zangu na zako tulizokuwa tunajibizana tafadhali ili wote waone hujatumiwa riwaya!
 
Napenda kua mkweli wewe sio wa kwanza kuandika riwaya na nilikitumia hela na narudia tena umenitapeli 3000
 
Hua situnzi sms ila kama unaona poa kula hio hela
 
Napenda kua mkweli wewe sio wa kwanza kuandika riwaya na nilikitumia hela na narudia tena umenitapeli 3000
Komredi ni vyema ukaweka sawa hili jambo kuliko kukimbilia humu kusema umetapeliwa!!

Watu zaidi ya mia mbili wamenunua riwaya wa ndani na nje ya nchi ila bado sijapata lawama ya mtu hata mmoja alielalamika na kila alietuma pesa ametumiwa ndani ya dakika tano tu.

Kaka sidhani kama kati ya watu wote hao ww ndie nione pesa yako tamu hadi nikudhulumu! Sijapata taarifa ya mtu alielipia na kunyimwa riwaya wala sijajibizana na mtu vibaya popote pale.

Tafadhali kuwa mkweli na pia namba zangu zote zipo hapa ungenipa taarifa kwa kupiga ama kutuma ujumbe tangu siku uliotuma na katika wote nashangaa hii lawama yako!!

Narudi kuangalia waliotuma hiyo tarehe taja jina na namba uliotumia kunitumia pesa!
 
Mpaka leo nilikua nakutumia sms na tunaulizana maswali mwisho wa siku ukaniita tapeli ulikua huchart na line ya tigo imayoishia 55
 
Unaona sasa usivyoelewa? Nitake radhi na uwathibitishie watu mimi sio tapeli na sijakutapeli pesa yako!

Nina namba tatu tu!! Ambazo ni
065854341(mara nyingi haipatikani ila ukituma pesa inafika na inatumika whatsapp)
0624155629 muda wote inapatikana
0758573660 ipo hewani kila dakika.

Namba zote zimesajiliwa kwa jina la Bahati Mwamba.
Sasa hiyo ya 55 anatumia nani?
 
Mimi number yangu ndio ya tigo 0654 681955 sijasema yako na namba iliokutumia hela ni 0754 092298 yangu pia na siku niliokutumia ulidai utanitumia mi sio chizi wala sina ugomvi nawe ila ni mpenzi wa riwaya zako na kupenda kwangu ndo limekua kosa la kuitwa tapeli
 
Kaka mbona unalazimisha kitu kigumu kukubalika? Sijakuita tapeli katik haki yako na sijawah fanya hivyo! Hivi huoni hajatokea mwingine kuungana na ww kulalamika? Ni kichat na mtu haizidi sms mbili na mzigo anapata! Sasa kaka mi ndo chizi labda ambae nachati na watu nawaita matapeli! Narudia tena sijapokea 3000/ hiyo tarehe hiyo siku komredi na hata kama ulituma hatujawah kuchati mim na ww.

Inabidi uwe mwelewa ndugu yangu sijaita mtu tapeli wala sijawah fanya hivyo! Hebu tumalize utata nakupa riwaya zote unazotaka
Nitext whatsapp 0658564341.

Labda ndilo unataka sioni ajabu kukupa hata zote tisa.
 
Mkuu achana naye huyo mbona wengine tunapata bila tatizo
 
Back
Top Bottom