Foul
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 798
- 1,175
usijal shemeji angu,pole na majukumuShemeji leo nimetingwa kidogo nadhani naeza ibuka usiku sana na ahsubuh mkaikuta ama la basi kesho
Mtanisamehe kwa usumbufu wa kuchungulia chungulia kila mara
Poleni
Vipi haijaisha badonipo APA nshaagiza peps ya baridi naamini kabla aijaisha mzigo utakuwa ushashuka.
Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu agiza kreti tu uendelee na moja moja.nipo APA nshaagiza peps ya baridi naamini kabla aijaisha mzigo utakuwa ushashuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanaaaa tutaanza kuwasahau wahusika sasa, Nataka kuona kojo anavyomwaga kojo tena



Mkuu Kudo wengine tumesha zeeka sana, tupunguzie safari za mara kwa mara kuja kuchungulia... Nisije nikakufwaa kabla sijajua hatma ya Solomon