Elections 2015 Jasusi Colonel Apson Mwang'onda atua Dodoma

Mmeandikiwa kweli ccm kazi IPO naona Wa pili huu mada kila kitu kinafanana
 
acha kujikojelea matakoni mkuu

mbna mnatuchanganya mwenzio kaandika apson yupo team lowassa kwamba kingunge aliwauliza kuhusu leakage ya info.

kingne Apson si.lolote si chochote kuna Jasusi moja linaitwa EMMANUEL NCHIMBI kwa taarifa yako huyo ndio ameengiza maraisi wote madarakani. uliza yupo team gani???????

utajinyea mchana kweupe
mmemshindwa lowassa mchana kweupe kwenye taa ya Mungu mtamuweza usiku kwa taa ya mzungu

Wewe ni unajua siasa za nchi hii..asante sana ..Nchimbi ndiye mpishi wa kila kitu wengine wanapiga makelele tu..njoo PM kuna jambo nikuambie
 
nahitimisha habari hii kwa kuona
kuwa atimaye laana imeanza kuwatafuna
na sasa wameanza kunena kila mtu kwa lugha yake
kama walivyopoteana wale wajenzi
wa mnara wa Babel.....
N.B:
Duru zangu nyeti za nyetin zinasema kuwa
1.Rais ni Jaji Ramadhani .
2.Makamu ni Lowasa ( atakuwa amzee wa kufungua majengo na vicoba , pamoja na kulinda muungano).

attachment.php
A posibility.
 
Wakuu bado nipo hapa Dodoma kwa takriban wiki sasa. Lengo ni kuwajuza kinachojiri katika mchakato wa CCM wa kumchagua mgombea wake wa Urais.
Jana lile Jasusi na Kachero Mstaafu wa Idara Ya Usalama Wa Taifa, Colonel Apson Mwang'onda limewasili hapa Dodoma. Amefikia Kitori Hotel iliyopo eneo la Iringa Road hapa Dodoma.
"Nimekuja hapa kwa kazi moja tu kuhakikisha Edward Lowassa kamwe Hachaguliwi kuwa Rais wa nchi hii", nilimnukuu Jasusi huyo akijigamba kwa Mtu wake wa karibu aliyekuwa naye hotelini hapo.
Inaelekea Jasusi huyu (Apson) amebadili msimamo kwani miezi michache tu iliyopita alikuwa anampigania Lowassa usiku na mchana ili awe Rais wa Awamu ya Tano.
Lakini sasa amemgeuka. Sababu ya kumgeuka inasemekana ni baada ya kunusa harufu ya kubaini kuwa Lowassa siyo chaguo la Wenye nchi na jina lake halitorudi katika vikao vya uteuzi vya CCM.
Ama kweli Majasusi hawatabiriki, wanabadilika kama Vinyonga. Leo wapo huku, kesho wanahamia kule. Utafiti wangu unaonyesha kuwa
Sababu kubwa za Apson kukorofishana na Lowassa ni Fitina za Rostam Aziz ambaye hataki hata kumsikia Apson kuwepo katika timu yao ya kampeni. Rostam hampendi na anamtuhumu sana Apson kwamba ni Kibaraka wa Serikali. Hivyo alimtimua katika vikao vya Team Lowassa. Ntaendelea kuwajuza.

Umeshamaliza kutumika kama condom? Tulia upelekwe kwenye dampo la taka
 
acha kujikojelea matakoni mkuu

mbna mnatuchanganya mwenzio kaandika apson yupo team lowassa kwamba kingunge aliwauliza kuhusu leakage ya info.

kingne Apson si.lolote si chochote kuna Jasusi moja linaitwa EMMANUEL NCHIMBI kwa taarifa yako huyo ndio ameengiza maraisi wote madarakani. uliza yupo team gani???????

utajinyea mchana kweupe
mmemshindwa lowassa mchana kweupe kwenye taa ya Mungu mtamuweza usiku kwa taa ya mzungu

wewe jamaa hii kitu umeitoa wapi?
 
Ila mleta mada nimegundua ww ni timu fulani haiwezekani tangu asbh unaongelea kuhusu Lowasa tu......c usubiri vikao vya maamuzi vya ccm viamue then tujue nani kapitishwa na ni nani hajapitishwa

Siyo lizaboni kaja kivingine/
 
acha kujikojelea matakoni mkuu

mbna mnatuchanganya mwenzio kaandika apson yupo team lowassa kwamba kingunge aliwauliza kuhusu leakage ya info.

kingne Apson si.lolote si chochote kuna Jasusi moja linaitwa EMMANUEL NCHIMBI kwa taarifa yako huyo ndio ameengiza maraisi wote madarakani. uliza yupo team gani???????

utajinyea mchana kweupe
mmemshindwa lowassa mchana kweupe kwenye taa ya Mungu mtamuweza usiku kwa taa ya mzungu
Bila shaka hilo jasusi kwa sasa limeshazeeka sana. Litakuwa above 90 years, labda kama idadi ya marais hao liliowaingiza madarakani wanaanzia kwenye awamu ya tatu.
 
nahitimisha habari hii kwa kuona
kuwa atimaye laana imeanza kuwatafuna
na sasa wameanza kunena kila mtu kwa lugha yake
kama walivyopoteana wale wajenzi
wa mnara wa Babel...
..
N.B:
Duru zangu nyeti za nyetin zinasema kuwa
1.Rais ni Jaji Ramadhani .
2.Makamu ni Lowasa ( atakuwa amzee wa kufungua majengo na vicoba , pamoja na kulinda muungano).

attachment.php
Nimeipenda hakika.
 
rajabs

Ni kosa kubwa kumlisha mtu maneno maovu kwa lengo la kumchafua au kupandikiza chuki,nikweli hata mm sipendi lowassa apite hata tano bora but chunga mdomo wako kumnukuu mtu tena maneno ya UONGO kwa jina lake itakuletea shida..narudia italuletea shida
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom