Jason Bourne

Jason Bourne

fundinaizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
1,837
Reaction score
2,953
Katika filamu chache za kijasusi nilizotazama nimeona mfululizo wa filamu ya Jason Bourne ni bora zaidi, wadau wa movie za kijasusi kuna movie kali yenye mfanano na huu mfululizo?
573260.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama kuna series mkuu nafikiri ni mfululizo tu wa movie za Jason Bourne maana nilizotizama ni
1. The bourne identity (2002)
2. The bourne supremancy(2004)
3. The bourne Ultimatum (2007) na
4.Jason Bourne (2016)

Tusubiri wajuzi watatuambia kama kuna series.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nishazioma hizo zote nazipenda balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom