James Bond - Yeye anakula raha, piga sana miti, anakunywa vinywaji vizuri, anajitambulisha, anavaa vizuri na anaendesha magari mazuri mno, hes a gentleman but lethal and dangerous, na anafanya assignment zake vizuri...
Jason Bourne - Ana psychological problems, nyingi mno, kuanzia utoto wake, mafunzoni, jeshini na kazini, kila wakati kichwa chake chazunguka kama pia, combat to combat sidhani kama James Bond angemueza, Bourne kwa hilo tu yuko vizuri mno, pia anafanya kazi zake, siyo mtu wa maraha kabisa, mademu zake lazima wafe!
Ila wote wako vizuri, nawapenda kivyao...