Boeing 757
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 288
- 626
Dah... sawa nduguJames Bond.....
usirudie tena kufananisha ligi ya Spain na Tz
James Bond ashapoteza ladha yake ya awali ila Jason bourne ni hatari sana. Story line, mapigano, instincts, shots ni za hali ya juu. Hakuna sijui migadgets ya uongo na ukweli kamaa ya James Bond.Matt Damon au almaarufu Kama Jason Bourne na Daniel Craig au James Bond yupi mkali katika ule ulimwengu wetu wa ujasusi?
Ni kazi gani NJEMA ya hawa miamba hujutii kabisa kuziangalia?View attachment 1477816
007 ni issue ingine mjomba, mission anazoenda kupiga ni za hatari na nyingi hufikia hata kutekwa lakin kwa uwezo wake hujichomoa.Matt Damon au almaarufu Kama Jason Bourne na Daniel Craig au James Bond yupi mkali katika ule ulimwengu wetu wa ujasusi?
Ni kazi gani NJEMA ya hawa miamba hujutii kabisa kuziangalia?View attachment 1477816
hahahaha mr bean (john english ni nomaJohnny English ndo kiboko yao
sasa kama 007 ni spy maarufu anakuwa vipi spy bora wakati spy anatakiwa asijulikane
[emoji975]The Bourne Identity ☜ nkupitia hiyo movie ndipo nilimuona Jason ni tofauti na Daniel Craig na baadaye nilimpongeza kwa sinema flani nimeipoteza akilini iliyohusu ujasusi, akiwa mbeba maboksi.
Tatizo muvi za james bond wamecheza wengi wakiigiza wao ni james bond, mi binafsi nilimwelewa Sean Connery tu, ila matt damon ni mzuri pia
Matt Damon au almaarufu Kama Jason Bourne na Daniel Craig au James Bond yupi mkali katika ule ulimwengu wetu wa ujasusi?
Ni kazi gani NJEMA ya hawa miamba hujutii kabisa kuziangalia?View attachment 1477816
Ila Craig Daniel kuna documentary fulan hivi nilikuwa naiangalia , huyu jamaa alishawahi kukaribishwa kwenye ofisi za makao makuu ya CIA yaliyopo huko langley Virginia sijuhi ilikuwa ni hafla ya nini ila ilikuwa kama party fulani hivi jamaa naye alikuwepo.007 ni issue ingine mjomba, mission anazoenda kupiga ni za hatari na nyingi hufikia hata kutekwa lakin kwa uwezo wake hujichomoa.
Jasson Bourne naona sijui kwanini wamemuweka kama mtu ambae hata yeye mwenyewe hajikumbuki ni nani. Na maadui zake mara nyingi ni maboss zake.
Ila kama alivosema mdau hapo juu kwenye mkono JB yuko fit zaidi.
Kitu kingine 007 zimeigizwa na wachezaji wengi Sana, sijui kwanini umeamua kumtumia Craig.
All in all 007 ni levels za juu, itachukua decades kwa JB kama zitaendelea kumkuta 007
Jason Bourne ni hatari wewe. Brain kubwa iko mle. Missiom zenye akili.
Jason Bourne ni best achana na James Bond na migadget yake, yani ukitazamaJason Bourne kila muda uko attention maana movie ina hamsha hamsha toka mwanzo mpaka mwishoBourne Series nimemuelewa sana Matt Damon, kwangu mimi naona jamaa ni noma