Jasho lenye rangi kwapani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jasho lenye rangi kwapani.

Discussion in 'JF Doctor' started by marco thomas, Feb 27, 2011.

 1. m

  marco thomas Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndg wa Jf. Huwaona watu wengi wenye tatizo hila, hasa wanapokuwa wamevaa nguo nyeupe na zingine zenye kuonyesha alama za jasho lililobaka na kuacha michilizi alama za rangi kama njano au nyeusi, Hii husababishwa na nini? Je kuna tiba? Kama ipo ni ipi? Majibu kutoka kwenu wana Jf.
   
 2. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nahisi ni maumbile na vyakula unavyokula! ngoja tufanye research!
   
 3. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wajitahidi kunyoa kwa wakati, usafi wa mwili ikiwemo kutorudia nguo pasipo sababu, kutumia deodorant nk.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Nyonyoa yote, paka deodorant.
   
Loading...