Jarida limemharibu mdogo wangu

Jarida limemharibu mdogo wangu

Bila shaka amegundua kwamba kile ulichomuambia na pia kuandikwa kwenye jarida kwamba nyeto haina madhara ni UONGO.
 
unatufanya maboya akati mhusika ni wewe, suluhisho jitaidi kusoma maneno ya mungu kulingana na imani yako, epuka kukaa pekee ndani pia jikeep busy mda mwngi nadhan huyo shetan utamshinda
 
Mwambie asome FEMA tena akikuta wamekataza CHAPUTA ndo ataacha maana anamini mandishi kuliko ushauri.

Ila faida aliambiwa kuwa ukimwi atauskia WHO, plus Gonnorhorrea.

Ajitaidi tu awe anamwangia ndani baada ya kukoleza kwa mkono ili apate watoto bhasi
 
Pole sana mkuu kwa hiyo shida.

Usiangalie au usisome mambo yote yanayohusu ngono
usikae peke yako kila muda
tafuta demu unayempenda tena awe bomba
fanya mazoezi
sali sana na soma vitabu vyenye kukupa maarifa

Nb;usifiche tatizo
Vipi kama mtu mpenzi wa mivies,, kuna movi zinakuwa na sceen za mapenzi ... na kujizuia kucheki movies ni kimbembe
 
Haya mambo ya punyeto yapo sana mashuleni hasa za boys tupu, wanakuwa na mashindano kabisaaaa, matokeo yake ndo km hayooh, poleeeeeh zakee sana. Duuuuh
 
Mambo ya fema hayo.. that's why mashule ya seminari walipiga marufuku hayo mavitabu yao
 
Hanari wanaJF,

Ilikuwa mwaka 2013 , mdogo wangu alikuwa kidato cha kwanza, siku moja alirudi nyumbani kutoka shule alipo maliza kubadili nguo za shule na kuvaa nguo za nyumbani akaniuliza "kupiga punyeto ni sawa sawa na kufanya mapenzi na mwanamke?" Mimi nikamjibu "kupiga punyeto ni sawa na kujiridhisha matakwa yako bila mwanamke ila kwa kutumia hisia kama uko na mwanamke vile"

Usiku wa siku hiyo niliingia chumbani kwake nikakuta jarida flani la hapa Tanzania katika meza yake ya kusomea, nikaamua kulipitia pitia nikakutana na maada inayo sema punyeto haina madhara yoyote bali inasaidia mtu kuepukana na kupata magonjwa ya zinaa na ubakaji.

Walikuwa wameidadavua iyo mada vizuri haswaaa, basi nikagundua sababu ya dogo kuniuliza kuhusu punyeto ni lile jarida.

Hiyo ilikuwa ni 2013 ila sasa dogo amekuwa muhanga wa punyeto, anapiga kama hana akili nzuri kila siku anapiga punyeto na kuna wakati ana niambia akiona hapati usingizi basi anapiga chap alafu anaishia usingizini. Japo anataka kuacha ila anashindwa kabisa, na kuna wakati ananiambia kuwa hata akiwa na demu wake basi anashindwa kumwaga kabisa adi inabidi amalizie na mikono mingi.

Nimwambie atumie njia gani ili aweze kuacha kabisa hilo swala? maana amekuwa mtumwa wa punyeto kabisa.!!
Hyo inaitwa nyeto ya kulipwa
 
Aendelee tu soon tutampa. Dogo ukatibu uenezi wa chama cha CHAPUTA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom