Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH

Vyombo vya habari vina uhuru wa kutosha kwenye Nchi nyingi, hawa huwa nawachambua kila sentensi inayoongewa na mkuu wa Nchi, au kiongozi kwenye heshima yake kwenye jamii. Pengine Wamechambua matamshi yake, vitendo vyake na serikali yake, hivyo wakapata cha kumwita.
Tanzania unaambiwa “ msifikiri kuwa mnao uhuru kivile”

Swali: kuna yeyote anaweza kunisaidia kujua kama kuna gazeti Tz Leo linalo andika habari za kiuchunguzi kama zamani, kulingana na matukio yanayo tokea Nchini ?
Hakuna.
 
Mkuu wewe sio nobody .... sauti yako inasikika hadi kuzimu kwa Malcom X na Patrice Lumumba (Hawa wote walikuwa wanaharakati maarufu waropokaji bila kujali wanamropokea nani lakini walikosa busara na akili, yaani unwise and stupid na kwa sababu hiyo hawakufanikisha cha maana), na duniani huku hadi kwa Nape Nnauye na Julius Malema! Kimsingi kuleta hapa hii kitu ungependa wote tushangilie ulichokileta kutoka huko the economist. Ukimkuta mzazi wako anatukanwa nyumba ya jirani nawe ukaja nyumbani kuwaeleza wadogo zako matusi anayotukanwa baba yako hiyo nayo ni unwise and stupid!

Regards

Kuna mama mmoja tulimzika juzi juzi alikuwa ni mpunga pepo, naye aliwahi kuniambia maneno kama haya yako. Kwasasa nadhani naye yuko kuzimu na wakina Malcom X na Lumumba wanaendelea kunisikiliza tu hapa JF. Nadhani hata wewe siku siyo nyingi unaweza ukajiunga nao bila kufanya cha maana sana hapa duniani.

Regards to your family...
 
Ni kweli matusi dhidi rais wetu ni ya kupingwa na hayakubaliki hata kidogo. Lakini kwa upande mwingine tunatakiwa tujitasmini na tutasmini taasisi hii nyeti na taasisi zingine ndani ya serikali yetu. Mi naamini kuna sehemu tunakwama kiuchumi na kisiasa.
Tanzania imekuwa kipofu, kama wamemtukana ipo siku watamkata kibao. Mabeberu sio watu
Acha wamkate vibao hata vya matako ilimradi hawamuonei tu.
 
Ndo maana sijawahi kusikitika matukio ya waadishi wanapochinjwa duniani,They deserve na watachinjwa sana Tu wanapokutana na wasioweza kuvumilia lugha hizi za ukosoaji
 
Malcom Lumumba,

..ukiambiwa uchague kati ya kuwa katili, au foolish, utachagua nini?

..nadhani kuna watendaji wanajua Mzee hapendi kukosolewa sasa wao wanamchochea zaidi kwa kumwambia anatukanwa.

..but I think Mzee is in a very unfortunate situation by having key advisors who do not point him in the right direction.

..Bad for him. Bad for the country.
 
Kama kawaida, ni walewale inaitwa "lost in translation". Kama wee kweli ni msomi na mfuatiliaji wa karibu hadi kulisaka kila tokeo la "The Economist", basi inapaswa uzi au rebuttal yako ya hiyo op-ed or whatever uandike kwa lugha ya Kiingereza ili hata hao "The Economist" wakija kusoma humu majibu yako wakuelewe.
Mimi nimefikisha ujumbe, huenda kweli nikawa Lost in Translation. Halafu kufuatilia tolea la The Economist haimaanishi kwamba wewe ni msomi sana, kuna watu wa kawaida sana huko Marekani na Ulaya wanalisoma.
 
Hakuna tusi Happ,
Mkapa aliwahi kutamka Hilo Neno kwa wapinzani aliwaita Wapumbavu,

Na watu walitetea wakasema siyo tusi iweje Leo ligeuke kuwa tusi? HEBU fafanua happy urejee ile hotuba ya mkapa pale Jangwani siku ya ufunguzi wa kampeni za RAIS wa awamu ya tano na UTETEZI uliotolewa kipindi kile halafu uhusianishe na hii habari yako
.

Mpumbavu NI mtu ambaye hajui Jambo Fulani na akielimishwa ataelewa, Hata wewe unaweza kuwa NI mpumbavu kwenye Mambo ya Sayansi au ya sheria.

Kwahiyo kila mtu anaupumbavu wake na kila mtu Ana uelevu wake katika Mambo mbali mbali.
 
Kuna mama mmoja tulimzika juzi juzi alikuwa ni mpuna pepo, naye aliwahi kuniambia maneno kama haya yako. Kwasasa nadhani naye yuko kuzimu na wakina Malcom X na Lumumba wanaendelea kunisikiliza tu hapa JF. Nadhani hata wewe siku siyo nyingi unaweza ukajiunga nao bila kufanya cha maana sana hapa duniani.

Regards to your family...

Excellent ... am glad you have figured out what i meant, just so you know!
 
Hakuna tusi Happ,
Mkapa aliwahi kutamka Hilo Neno kwa wapinzani aliwaita Wapumbavu,

Na watu walitetea wakasema siyo tusi iweje Leo ligeuke kuwa tusi? HEBU fafanua happy urejee ile hotuba ya mkapa pale Jangwani siku ya ufunguzi wa kampeni za RAIS wa awamu ya tano na UTETEZI uliotolewa kipindi kile halafu uhusianishe na hii habari yako
.

Mpumbavu NI mtu ambaye hajui Jambo Fulani na akielimishwa ataelewa, Hata wewe unaweza kuwa NI mpumbavu kwenye Mambo ya Sayansi au ya sheria.

Kwahiyo kila mtu anaupumbavu wake na kila mtu Ana uelevu wake katika Mambo mbali mbali.
Hapana Mjinga ndiyo mtu ambaye akieleweshwa anaelewa, kila mtu ni mjinga. Mpumbavu ni neno baya sanaa sanaaa.
 
Habari,
Leo mapema nilitafuta nakala yangu ya Jarida la The Economist, moja kati ya majarida makubwa kabisa, makongwe na yanayosomwa na wengi ziaidi hapa duniani.

Kama kawaida huwa naenda kuangalia kipengele cha Africa & Middle East. Leo walichokisema kuhusu Tanzania kwenye kichwa cha habari ni kumwita Raisi Magufuli "A Tanzanian despot wannabe"

Ukisoma zaidi wameongelea jinsi anavyowafunga wapinzani na wakafika sehemu wakasema kwamba Mh Tundu Lissu ndiye anamtesa sana Raisi wetu. Wakasema maneno haya kuhusu Lissu "Mr Lissu is back in full cry, with well-aired performances at Western think-tank forums and television abroad"

Lakini katika yote haya, lililolamata sana macho yangu ni hili la kusema kwamba Raisi Magufuli ni FOOLISH. Wamesema hivi " The President has been foolish in Economics matters too" wakimaanisha kwamba Raisi wetu ni mjinga kwenye mambo ya kisiasa waliyoyazungumzia lakini pamoja na yale ya kiuchumi.

Wamezungumzia suala la Gazeti la The Citizen kufungiwa na wakasema kuna mpango wa kuliuza kwa mtu mwenye asili ya Mashariki ya Kati ambaye ni rafiki wa Raisi Magufuli.

Mwisho kabisa wamezungumzia jinsi ambavyo Raisi wetu amegeukia Mashariki ya Kati na Uchina kuomba msaada baada ya kugombana na mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Wizara ya Mambo ya nje ichukue hatua stahiki kwa haya maneno ambayo Raisi wetu amekashifiwa nayo. Maana neno A Fool kwenye Cambridge Dictionary linasema hivi " A person who behaves in silly way without thinking" na neno Foolish ni "Unwise, stupid or not showing good judgement"

Jamani Raisi wetu katukanwa matusi makubwa sana kwasababu binafsi siamini kwamba Raisi wetu ni mpumbavu au mtu asiye na uelewa wowote ule...

Binafsi siyo mshabiki wa Raisi Magufuli lakini haya matusi kwa jarida kubwa kama hili hayajakaa vizuri. Hatua stahiki sichukuliwe na Wizara Husika.

Nawasilisha.

CC: chige, JokaKuu, Nguruvi3, Pascal Mayalla, introvert, Quinine, technically, Consigliere, Wick, Red Giant
Hawajamtukana bali wamemueleza jinsi alivyo, hawajakosea
 
Walifungie hilo gazeti miezi 10

In God we trust
 
Foolish
 
Hapana Mjinga ndiyo mtu ambaye akieleweshwa anaelewa, kila mtu ni mjinga. Mpumbavu ni neno baya sanaa sanaaa.[/QUOT

Kama NI hivyo naunga mkono hoja can,zote

Ila hatua zianzie kwa mkapa aliyewatusi wapinzani wake pale Jangwani,

Na kishaTumalizie na Hili gazeti
 
It Depends Ni Kwa Kiasi Gani Mwenendo Na Matendo Ikiwemo Matamshi Ya Mtu Yana-Justify Kuitwa Majina Kama Hayo. Foolish, Stupid n.k.

Kama Hayo Maneno (Yanayodaiwa Ni Matusi) Yanashabihiana Na Ukweli Na Uhalisia Wa Mambo (Tabia Za Mtu Na Mienendo) Basi Hayo Si Matusi Sababu Ndio Hali Halisi Ilivyo.

Mfano: Mjinga Ukimwambia "Wewe Ni Mjinga" Hapo Si Matusi Sababu Ndivyo Alivyo.
Pia Isitoshe, Ukimwambia Mjinga "Aisee Wewe Ni Bonge La Genius!" Hapo Umemkejeli.
 
Mimi nimefikisha ujumbe, huenda kweli nikawa Lost in Translation. Halafu kufuatilia tolea la The Economist haimaanishi kwamba wewe ni msomi sana, kuna watu wa kawaida sana huko Marekani na Ulaya wanalisoma.
Kama ni tafsiri yako binafsi, hatuhitaji iwe kwa Kiswahili. Andika majibu yako kwa kiingereza kama ulivyowaelewa.
 
Back
Top Bottom