Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,509
2,000
Nasubiri povu kutoka mtaa wa lumumba.
Makala nzima ya The Economist imemponda jiwe. Lakini wameeleza ukweli. Hawajadanganya; wala hakuna propaganda.
Hivi neno "foolish" ni tusi? Nilidhani ni neno la dharau tu.
Amefanana na hilo neno Mr Jiwe. Ukweli ni shubiri
 
Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,480
2,000
Habari,
Leo mapema nilitafuta nakala yangu ya Jarida la The Economist, moja kati ya majarida makubwa kabisa, makongwe na yanayosomwa na wengi ziaidi hapa duniani.

Kama kawaida huwa naenda kuangalia kipengele cha Africa & Middle East. Leo walichokisema kuhusu Tanzania kwenye kichwa cha habari ni kumwita Raisi Magufuli "A Tanzanian despot wannabe"

Ukisoma zaidi wameongelea jinsi anavyowafunga wapinzani na wakafika sehemu wakasema kwamba Mh Tundu Lissu ndiye anamtesa sana Raisi wetu. Wakasema maneno haya kuhusu Lissu "Mr Lissu is back in full cry, with well-aired performances at Western think-tank forums and television abroad"

Lakini katika yote haya, lililolamata sana macho yangu ni hili la kusema kwamba Raisi Magufuli ni FOOLISH. Wamesema hivi " The President has been foolish in Economics matters too" wakimaanisha kwamba Raisi wetu ni mjinga kwenye mambo ya kisiasa waliyoyazungumzia lakini pamoja na yale ya kiuchumi.

Wamezungumzia suala la Gazeti la The Citizen kufungiwa na wakasema kuna mpango wa kuliuza kwa mtu mwenye asili ya Mashariki ya Kati ambaye ni rafiki wa Raisi Magufuli.

Mwisho kabisa wamezungumzia jinsi ambavyo Raisi wetu amegeukia Mashariki ya Kati na Uchina kuomba msaada baada ya kugombana na mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Wizara ya Mambo ya nje ichukue hatua stahiki kwa haya maneno ambayo Raisi wetu amekashifiwa nayo. Maana neno A Fool kwenye Cambridge Dictionary linasema hivi " A person who behaves in silly way without thinking" na neno Foolish ni "Unwise, stupid or not showing good judgement"

Jamani Raisi wetu katukanwa matusi makubwa sana kwasababu binafsi siamini kwamba Raisi wetu ni mpumbavu au mtu asiye na uelewa wowote ule...

Binafsi siyo mshabiki wa Raisi Magufuli lakini haya matusi kwa jarida kubwa kama hili hayajakaa vizuri. Hatua stahiki sichukuliwe na Wizara Husika.

Nawasilisha.

CC: chige, JokaKuu, Nguruvi3, Pascal Mayalla, introvert, Quinine, technically, Consigliere, Wick, Red Giant
Mbona kama wewe ndio unamtukana manake nukuu hako imaliza economy. Mbona yeye sio mchumi na baazi ya maamuzi yake katika uchumi yanashtua wajuvi. We korosho zinunuliwe na jeshi kweli we ungeitaje iko kitendo kwa mfano. Manake tungeweka sie maneno yetu tungekuwa tushatupwa ktk viroba pwani huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,283

Kwani anachokifanya kina chembe ya kinyume na yaliyoandikwa?
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
17,661
2,000
Mbona kama wewe ndio unamtukana manake nukuu hako imaliza economy. Mbona yeye sio mchumi na baazi ya maamuzi yake katika uchumi yanashtua wajuvi. We korosho zinunuliwe na jeshi kweli we ungeitaje iko kitendo kwa mfano. Manake tungeweka sie maneno yetu tungekuwa tushatupwa ktk viroba pwani huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baadae ntaweka mada nzima uone mwenyewe. Hapo nimepunguza maneno, yaliyoandikwa: Wameandika mengi sana ambayo nadhani hata mkisoma mnaweza kusema kipindi hiki wameenda mbali.
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,409
2,000
Habari,
Leo mapema nilitafuta nakala yangu ya Jarida la The Economist, moja kati ya majarida makubwa kabisa, makongwe na yanayosomwa na wengi ziaidi hapa duniani.

Kama kawaida huwa naenda kuangalia kipengele cha Africa & Middle East. Leo walichokisema kuhusu Tanzania kwenye kichwa cha habari ni kumwita Raisi Magufuli "A Tanzanian despot wannabe"

Ukisoma zaidi wameongelea jinsi anavyowafunga wapinzani na wakafika sehemu wakasema kwamba Mh Tundu Lissu ndiye anamtesa sana Raisi wetu. Wakasema maneno haya kuhusu Lissu "Mr Lissu is back in full cry, with well-aired performances at Western think-tank forums and television abroad"

Lakini katika yote haya, lililolamata sana macho yangu ni hili la kusema kwamba Raisi Magufuli ni FOOLISH. Wamesema hivi " The President has been foolish in Economics matters too" wakimaanisha kwamba Raisi wetu ni mjinga kwenye mambo ya kisiasa waliyoyazungumzia lakini pamoja na yale ya kiuchumi.

Wamezungumzia suala la Gazeti la The Citizen kufungiwa na wakasema kuna mpango wa kuliuza kwa mtu mwenye asili ya Mashariki ya Kati ambaye ni rafiki wa Raisi Magufuli.

Mwisho kabisa wamezungumzia jinsi ambavyo Raisi wetu amegeukia Mashariki ya Kati na Uchina kuomba msaada baada ya kugombana na mataifa ya Magharibi.

MY TAKE:
Wizara ya Mambo ya nje ichukue hatua stahiki kwa haya maneno ambayo Raisi wetu amekashifiwa nayo. Maana neno A Fool kwenye Cambridge Dictionary linasema hivi " A person who behaves in silly way without thinking" na neno Foolish ni "Unwise, stupid or not showing good judgement"

Jamani Raisi wetu katukanwa matusi makubwa sana kwasababu binafsi siamini kwamba Raisi wetu ni mpumbavu au mtu asiye na uelewa wowote ule...

Binafsi siyo mshabiki wa Raisi Magufuli lakini haya matusi kwa jarida kubwa kama hili hayajakaa vizuri. Hatua stahiki sichukuliwe na Wizara Husika.

Nawasilisha.

CC: chige, JokaKuu, Nguruvi3, Pascal Mayalla, introvert, Quinine, technically, Consigliere, Wick, Red Giant
It seems you are already in Lumumba payroll system,because you work hard to paint on the wind, while the wind is unpaintable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
17,661
2,000
Hata maneno "despot wannabe" yaliyopo kwenye kichwa cha taarifa hiyo ni matusi pia!!! Hawa wazungu hawana adabu!!!! Uki-"google maana yake" unaweza kutoa machozi. Hili gazeti lipigwe marufuku hapa nchini.

Mkuu wanavyoanza kabisa hii mada wanasema hivi " A dose of bull" sasa kuna binadamu hapa wanadhani haya maneno nayasema mimi mwenyewe. Lakini ukilisoma hili Jarida leo, ni hatari sana.
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,409
2,000
Mimi kauli yangu haina uzito wowote ule kwenye nchi hii kwasababu I'm a nobody. Hivyo sidhani kama ya moyoni mwangu yana umuhimu wowote ule kufahamika.

Mimi ni mjumbe tu...
Unadhani mkuu serikali ya Tanzania italifanya nini hilo gazeti?
Sikuona mantiki ya wewe kulalamika na kuumia ,hilo gazeti limesema kweli tupu, na ukweli siku zote uheshimiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,842
2,000
Mkuu wewe sio nobody .... sauti yako inasikika hadi kuzimu kwa Malcom X na Patrice Lumumba (Hawa wote walikuwa wanaharakati maarufu waropokaji bila kujali wanamropokea nani lakini walikosa busara na akili, yaani unwise and stupid na kwa sababu hiyo hawakufanikisha cha maana), na duniani huku hadi kwa Nape Nnauye na Julius Malema! Kimsingi kuleta hapa hii kitu ungependa wote tushangilie ulichokileta kutoka huko the economist. Ukimkuta mzazi wako anatukanwa nyumba ya jirani nawe ukaja nyumbani kuwaeleza wadogo zako matusi anayotukanwa baba yako hiyo nayo ni unwise and stupid!

Regards
Kwakuwa serekali hasa ya wamu hii ina mkono mrefu, nashauri serekali yetu ya sisyemu ilifungie maisha! kisha mhariri wake apigwe risasi 16.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom