Fanya stuli kabisa ya 5,000 sio kiti cha cello, kiti cha cello ghali sana
Tumeelewana sasa kua tufanye stuli???
Ok, tuendelee
Nilikua nalipa 1,200,000 kwa mwaka kodi ya nyumba (kwa mwezi 100k)
Kula 50,000 kwa week (200k kwa mwezi)
Bado kuna ada, saluni, smartphone, vocha,
Angalia kwa mwaka nilikua natumia shngap, halafu naachana nawewe unanidai kitu cha 5,000 tena umekomalia kabisa, tena hicho kitu chenyewe ulinunua kwa pesa zangu, halafu unaleta ugomvi unataka kiti chako na mapazia ya elfu 30
Shukran yako ipo wapi hapo??