Jaribu kucheki hizi Series

Jaribu kucheki hizi Series

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,188
Reaction score
1,306
Nilikuta zimepostiwa kwenye thread moja ikabidi nitafute hizi series nikazidownload walaaah ni nzur kish**nz
nazo ni The 100 ambayo imeishia season 2 na the last ship nayo imeishia season 2 kama hujazichek jarib kuzitafuta kama bado kama kuna nyingine kama hizo naomben nijarib kuzidownload
 
Sory Mods naomba uipeleke kwenye jukwaa husika
 
Nilikuta zimepostiwa kwenye thread moja ikabidi nitafute hizi series nikazidownload walaaah ni nzur kish**nz
nazo ni The 100 ambayo imeishia season 2 na the last ship nayo imeishia season 2 kama hujazichek jarib kuzitafuta kama bado kama kuna nyingine kama hizo naomben nijarib kuzidownload

Naomba unielekeze jinsi ya kudownload move...kwa kutumia PC ..Asante
 
Me natumia ubuntu, but kwenye windows 7 unaingia google andika bittorrent then download ukishadownload install kwenye pc then ifungue hiyo application(bittorrent) then kuna sehem ya kusearch andika jina la movie unayotaka kwa usahihi kisha itaseach then itadisplay hapo kwenye torrent so unachagua DVDRIP 720p, 1080p na ziwe na size kuanzia 700,800mb na kuendelea mwenye kujua zaid naomba aendelee
 
Nawewe nenda katafute series inaitwa Arrow uone maajabu ya oliver queen
 
Nilikuta zimepostiwa kwenye thread moja ikabidi nitafute hizi series nikazidownload walaaah ni nzur kish**nz
nazo ni The 100 ambayo imeishia season 2 na the last ship nayo imeishia season 2 kama hujazichek jarib kuzitafuta kama bado kama kuna nyingine kama hizo naomben nijarib kuzidownload

The 100 ipo Poa sana..

Mimi ninazo zikubali na Nahisi hata wewe utazipenda ni hizi

☞The Strain
☞Prison break
☞24
 
Kitu
Chuno
3 days
City Hunter
Game of thrones
Sailem (sina hakika lama nmepatia spelling)
Power
Dong yi
 
hizo series za kikorea hazina mvuto niliikubali tu Athena yani hizi series za korea hata kitu hakijafanyika ushatabiri kitakachotokea, huwez linganisha hizi na series kama prison break, person of interest, breaking bad,24.........
 
The 100
Revolution
Empire
The last ship
Across the star
Breaking bad
Crisis
Zko poa balaaaaaaa
The 100 ndio inaelekea mwsho sasa
 
Kwa series za Korea
You r beautiful
My love from another star
The heirs
Goo family book
City scandal.
Ni tamu balaaaaaaaa
 
Orphan black ni hatari sana...tafuta uwachek clones wanavyopga kazi.
 
hizo series za kikorea hazina mvuto niliikubali tu Athena yani hizi series za korea hata kitu hakijafanyika ushatabiri kitakachotokea, huwez linganisha hizi na series kama prison break, person of interest, breaking bad,24.........

Series za kikorea nzuri hasa za kizaman same applied to series za west kama game of thrones, spartacus, prison break sijawahi iangalia na sina hata hamu ya kuiangalia same applied to 24.
Strike back safi
Power safi
Vikings safi
 
Karibu na hz utojutia, sijawahi on a vitu kama hv, sijawahi ona
1.V 2009(s01&s02)
2.prisoner break (s01-s04)
3.travellers
4.the 100
5.the strain
6.bates motel
7.breaking bad
8.under the dome
9. Last sheep
10.left over
11.the cape
12.revolution
13.sleep hollow
14.Salem
15.orphan black
16.power
17. Master of sex
18.empire
19. Vikings
20.grimm
 
jamani kila nikijaribu kudownload vikings season 2 na 3 nashindwa, hz cd za vibandani zimetafsiliwa na mimi sio spoon feeding. naomba msaada nitumie njia gani nizipate na hiz mnazoziorodhesha nizipiate katika ubora unaoitajika
 
Series za kikorea nzuri hasa za kizaman same applied to series za west kama game of thrones, spartacus, prison break sijawahi iangalia na sina hata hamu ya kuiangalia same applied to 24.
Strike back safi
Power safi
Vikings safi

Aisee mkuu, huwezi linganisha 24 na series za kikorea, 24 ni noma haichoshi nimeangalia season zote tisa
 
Kwa series za Korea
You r beautiful
My love from another star
The heirs
Goo family book
City scandal.
Ni tamu balaaaaaaaa

Wakorea labda IRIS hizo nyingine mf You are beautiful ni kama bongo movie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom