Jaribu kucheki hizi Series

Jaribu kucheki hizi Series

jamani kila nikijaribu kudownload vikings season 2 na 3 nashindwa, hz cd za vibandani zimetafsiliwa na mimi sio spoon feeding. naomba msaada nitumie njia gani nizipate na hiz mnazoziorodhesha nizipiate katika ubora unaoitajika

Ingia Google then type utorrent. Download hiyo app na install.. Kisha nenda kwenye hii web page www.kickass.to
Nenda kwenye search of the Web andika any movie au series unayotaka download
results zikija download torrent kwa ku click alama ya kimshale kinacho angalia chini au alama ya sumaku

Na kabla ya kudownload angalia yenye leechers wengi hope tha was useful
 
ngoja nifanyie kaz ushauri wako ntakupa feed back mkuu
 
hiv msaada mm napenda season za kutisha sna uchaw mwing,technologia ya juu na ukatili mtupu.kma anaeza anipe orodha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom