Jaribu hii

mbona nguo zote hizo wenzenu ndio wanatokea out nyie mnafanya za kulalia, maajabu
 
mbona nguo zote hizo wenzenu ndio wanatokea out nyie mnafanya za kulalia, maajabu
ha haaa, ni swala tu la kujua nguo gani uvae wapi Mokoyo.....
kuna watu huwa wananunua nguo lakini hawajui yapaswa kuvaliwa wapi.....
ndo maana siku hizi ukienda vyuo vikuu vingi utakuta wanafunzi wanavaa nguo za disco darasani
 
FP ebu anzisha NGOs ya kufundisha maadili, malezi na uvaaji kwa wanawake hasa wa vyuoni na sekondari. Utapata funds ya kutosha. Am telling you, buy my idea
 
FP ebu anzisha NGOs ya kufundisha maadili, malezi na uvaaji kwa wanawake hasa wa vyuoni na sekondari. Utapata funds ya kutosha. Am telling you, buy my idea
yaani ningekuwa na uwezo ningefundisha hata bure.....
yaani kama mtu anataka kuanzisha hiyo na akaniita niwe mwl hata bili kunilipa chochote ningefanya kwa moyo mkunjufu kabisa....
ukweli huwa naumia sana ninapopita vyuoni na kuona jinsi wanafunzi wanavyovaa na wanaingia darasani. mimi sielewi nia na madhumuni yao. maana kama ni kupendeza mbona kuna nguo nyingi tu za heshima zinawapendeza sana.
nakumbuka kuna chuo fulani, mwl mmoja mwanaume mtu mzima sana, alipiga marufuku baadhi ya nguo kuvaliwa darasani kwake, na akawa anawatoa nje wanaovaa vinguo asivyovitaka. wanafunzi woote walikuwa wanavaa kiheshima kwenye darasa la yule mwl.
 
Reactions: BAK
si unajua tena mapozi ya kike bestito ndo hayo tena
ha haaaa, safi kabisa rafiki yangu......
wenyewe mmependezaaaa, ingawa naona Mentor anakukodolea macho mwenyewe ulivyomnunia, analia timing sijui aanze na gia gani? lol!
 
rated the images in order of sexiness.i thought FP ni mtu wa 'zamani' kumbe umeshamia mfumo wa digitali 🙂
ha haaa, got you mwl mkuu msaidizi, lol!
Blaine, mimi ni mtu wa zamani ninayeenda na wakati, nipo kidigitali zaidi......
lakini nikuulize, unafikiri haya mavazi yameanzia sasa? yapo tangu kitambo sana. mimi mwenyewe nimeanza kuvaa hizo za kununuliwa na mama, enzi hizo.
 
Reactions: BAK
nice 🙂. i thought haya mavazi ni ya siku hizi, sikujua kama ni ya kitambo.
kumbe wanajf "mnaenda na wakati"
 
nice 🙂. i thought haya mavazi ni ya siku hizi, sikujua kama ni ya kitambo.
kumbe wanajf "mnaenda na wakati"
tunaenda na wakati sana tu....
nani anakubali kuachwa nyuma? hiyo ni dhambi, lol!
 
Reactions: BAK
ha haaaa.... unaangaliaga picha za kijeria?
unakuta mama anapanda kwa kitanda na baba kavaa gauni na kitenge kizitoooooo tena kakigungia juu ya matiti......
Hiyo ndiyo nchi gani?
 
Ukivaa hizi hata kama msumari umelala kwa uchovu wa kazi za kutafuta riziki lazima utaamka na kukupatia haki stahiki.
 
Ukivaa hizi hata kama msumari umelala kwa uchovu wa kazi za kutafuta riziki lazima utaamka na kukupatia haki stahiki.
ha haaa, nafurahi sana nikiona wakaka wananiunga mkono kwa hili, lol!
haya muwanunulie sasa hao wenzi wenu ili wawe wanatokea kivingine, sawa?
 
Wee FP usinitoe machozi kwa kicheko, mwizi yupi utakayemsikia wa kukupa nafasi ya kukwapua hiyo wrap ili ujisitiri na kutoka mbio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…