Jaribu hii

sii ndio maana wanawake wengi wanatembea nusu uchi mitaani siku hizi...genye lazima ziwe juu juu

sasa huo ni zaidi ya ulimbukeni!!!! kutembea hivyo ndio kubaya unless uwe unauza!!!!
hii tunaongelea kama una wako home kwa kudead na kufukiana tani saba za udongo!!!
 
ah kumbe mwanipigiaga makele bure hapa wakati wenyewe mwapenda migegedo kila leo haya bana ngoja nipate mke sasa nitulie. love connect here i come
migegedo twipenda kwa watu special.... siyo kama wee kila apitaye, lol!
 
za kiblack ni hiziiiiii........kwanz aunachoose nyepesinyepesi zileeeeee afu na maneno ndo kama hayooooooooooo.......unajitumiapo kwenye mwili wako ambao unahakikisha ni mwororo..........
umeona eeeh!
zamani zilikuwaga zile za India.......
zilikuwa zinafaa sana
 
For as long as niko jiji hili lenye joto hasira....hii ndo nguo ya mume kuvaa:




..and me lady:

...but without the pants!!!



Oh life, if only wishes were horses! I would be married and Arsenal would still be celebrating for a cup won....if only!!!!:car:
 
Kongosho hapo umesema
na huyo shosti hapo juu mbona kakaa kama yuko dukani vile au ni macho yangu.

We acha tu
Na haya matumbo yalo magotini afu utoke kitomvu nje ni kuchekesha




Haswaa uwe umeupata ule orijino utapenda

Ila kuvaa, labda
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, tukinuna tunavaa mapajama......
full trouser na sweta
......
ila ukivaa hivyo vigauni na umenuna si unajisumbua?

ha ha ha ndo nitanunua hivo vigauni....
yani nikinuna ni mapajama kwakweli na koti juu utadhani naenda kupanda pikipiki kumbe muda wa kulala!!!!!!!
 
FP hapa naona za wembamba tu, au wanene wanaruhusiwa kuvaa kaptula ya jeans na ki-top?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…