Jaribu hii

Fixed Point

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Posts
11,304
Reaction score
12,753
Kuna siku mtu alileta mada ya unalalaje? akaweka picha nyingi watu waseme anavaa nini wanapolala.
Kila mtu alikuwa na lake la kusema, ila niligundua watu wengi hasa walio ndoani walisema wanalala bila nguo.
Pia nikisomaga mada za watu ambao wanashukuru wameoa/olewa, baadhi ya watu wanawakaribisha kwenye chama cha kulala bila nguo.......
Sijui sababu zinazofanya wanandoa wengi wanalala bila nguo, labda kwa vile tupo wengi humu tunaweza kusaidiana kuambiana faida za kufanya hivyo.
Binafsi napenda kulala na nguo, naona kuna mvuto wake kufanya hivyo. Kwanza ile process ya kuvuana nguo mnapotaka kutimiza wajibu wenu naona ni romantic.
Pia watu wengi wanapendeza wakivaa nguo...... na kama nguo ni sexy basi unavutia zaidi.
hapa kitu kikubwa cha kuangalia ni nguo ambayo unaivaa ule muda wa kupanda kwa kitanda.
kuna miili ambayo inapendeza sana na kanga, unaweza ukavaa kanga moja (siyo kitenge) ukaingia zako kwa kitanda.
Kuna miili ambayo ukivaa kanga ni kama umevalishwa habit la masista, lol! hawa ni vizuri sana wakatafuta vigauni vizuri, viduchu kwa ajili ya kupanda navyo kwa kitanda.
Kwa wale wa vigauni, chagua za material ambayo inavutia na ni laini ili mtu asione kero anapokugusa mnapokuwa kwenye maongezi. pia size ya kigauni ina-matter.... chagua kigauni ambacho ukikivaa kinamvutia mtu na ambacho ni rahisi kukivua (kilichokaa kimitego). Rangi ya kigauni pia ina nafasi yake.....jua rangi zinazomvutia sana huyo mwenza.
hapa ni baadhi ya picha za vinguo vya kulalia ambavyo navipenda.

Huu ni mtazamo wangu mimi, nakaribisha maoni ya wengine pia.
Muwe na weekend njema sana.
 
yeah mwanamke shurti uujulie mwili wako,
Jaman unakuta mtu kavaa tenge na Tshert
na hivyo alishinda navyo mchana kutwa.
kwa staili si bora kulala kama mlivyozaliwa...........,
ha haaaa.... unaangaliaga picha za kijeria?
unakuta mama anapanda kwa kitanda na baba kavaa gauni na kitenge kizitoooooo tena kakigungia juu ya matiti......
 
kusema kweli mimi sivaagi kikorombezo na mume wangu hataki ni uchi kwenda mbele akitaka kusuuza rungu yake hapotezi muda huwa nawazaga siku tukikurupushwa mwizi hahahahah itakuwa sooo
 
kusema kweli mimi sivaagi kikorombezo na mume wangu hataki ni uchi kwenda mbele akitaka kusuuza rungu yake hapotezi muda huwa nawazaga siku tukikurupushwa mwizi hahahahah itakuwa sooo
ha haaaa, akitokea mwizi hata na vinguo hivyo si itakuwa soo!
la kufanya mnakuwa na yale ma-bathing wrap sehemu ya wazi..... wakiita mwizi tu unayapitia na kulitundika huku unakimbia, lol!
ila twin jaribu hiyo..... anzia na hizo ambazo zipo wazi kabisa. just for a change, lol!
 
ndio lengo lake Mzabzab

ah kumbe mwanipigiaga makele bure hapa wakati wenyewe mwapenda migegedo kila leo haya bana ngoja nipate mke sasa nitulie. love connect here i come
 
kusema kweli mimi sivaagi kikorombezo na mume wangu hataki ni uchi kwenda mbele akitaka kusuuza rungu yake hapotezi muda huwa nawazaga siku tukikurupushwa mwizi hahahahah itakuwa sooo

Ha ha ha Tandale kwa mfuga mbwa na mambo haya wapi na wapi Nivea..? Nyumba ina wapangaji sita na choo kimoja.. Mpangaji chumba cha pili kafungulia radio yake kwa sauti.. Halafu chumba chenyewe hakina dari lol..
 
Last edited by a moderator:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…