Jaribio la kupindua serikali nchini DRC

Jaribio la kupindua serikali nchini DRC

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,387
Reaction score
5,976
Ma ofisa wakuu wa jeshi,wapo hatarini,badhi yao wakiwa wanasakwa huku wengine wakikamatwa. Wanakabiliwa na tuhuma na njama za jalibio la kupindua uongozi wa Tshisekedi.
 
Bahati mbaya kwao mission imefeli
Ndo hivo. Ila hizo pia ni dalili mbaya za uwezekano wa serikali hiyo kudumu,huku inajiandaa vita upya. Mbaya zaidi, wamo watu ambao walikuwa trusted na kupewa deployment huko uwanja wa vita.🤣🤣🤣🤣. Na hawa hakika ni watu wa karibu wa rais mstaafu,Kabila Kabange Joseph.
 
Back
Top Bottom