Jaribio la Israel kutua Mwezini limefeli

Hapa sijaelewa kitu, taifa teule lenye watu walioteuliwa linashindwaje kutuma chombo na kikatua mwezini wakati mchina binadam anaeaminika kwa vitu fake ametma chombo na kimetua na juzi kati ameotesha mbegu za pamba huko? huo uteule unakua justified kwenye vitu gan hasa?
 
Wewe umenielewa vyema kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo mzuri! Hata sisi tunaelekea huko
 
Back
Top Bottom